Je, Patrobas Katambi ni nani? Kwa wasiomjua hebu sikiliza hii video uweze kupata jibu

Je, Patrobas Katambi ni nani? Kwa wasiomjua hebu sikiliza hii video uweze kupata jibu

Na wapo wengi sana ambao wanagombea ubunge kwa tiketi ya Chadema.

Maafisa vipenyo wamejazwa Chadema wengi sana, watashinda Uchaguzi lkb watauza majimbo kwa kukubali kushindwa.

Katambi alikuwa mmoja wao.

Achana na hii SYSTEM

Acha ulaghai. Katambi tangu lini alikuwa kipenyo? Huyu ni opportunist mchumia tumbo at its best!

Njaa na umasikini wa watanzania ndiyo mlango wa haya yote. Ukiondoa hivyo viwili CCM cannot survive.
 
Kule kwingine amekuwa labelled kama Afisa kipenyo

Yupo sawa labda kwenu bavicha ndo mtamshangaaa na kutomuelewa

Kasema ukweli kuwa hayo anayosema ni yale waliyo panga waseme kwa hiyo yalikuwa ni maelekezo ya chama,
Na alishasema walikuwa wanapanga kusema uongo kwa kusingizia serikari.
 
Yupo sawa labda kwenu bavicha ndo matamshangaaa na kutomuelewa

Kasema ukweli kuwa hayo anayosema ni yale waliyo panga waseme kwa hiyo yalikuwa ni maelekezo ya chama,
Na alishasema walikuwa wanapanga kusema uongo kwa kusingizia serikari.

Tunamjua vizuri Patrobas failure wa Sheria law school. Ni njaa na ushamba tu hapo hamna jingine.

Ukiwa mwongo sana (pathological liar) uwe na kumbukumbu. Katambi hana kumbukumbu because he is not that smart anyway.
 
Mag3,
Hana msimamo ilo linatosha kutokumsikikiliza sasa utamsikiliza mtu ambae hana msimamo
 
Mbona hii ndio hali halisi ya Tanzania tangia enzi za Mwalimu Nyerere ambaye yeye ndio aliusuka mfumo kwa weledi wa hali ya juu

Mnashangaa ya Katambi wakati kuna chama mgombea wake wa Urais wa JMT, mgombea wake wa Urais wa SMZ, viongozi wake wa juu wa Chama wote ni "maafisa vipenyo" waandamizi!!!?
 
Kumbe ali
Tunamjua vizuri Patrobas failure wa Sheria law school. Ni njaa na ushamba tu hapo hamna jingine.

Ukiwa mwongo sana (pathological liar) uwe na kumbukumbu. Katambi hana kumbukumbu because he is not that smart anyway.
Alifeli kumbe hamna kila kitu?
 
Na wapo wengi sana ambao wanagombea ubunge kwa tiketi ya Chadema.

Maafisa vipenyo wamejazwa Chadema wengi sana, watashinda Uchaguzi lkb watauza majimbo kwa kukubali kushindwa.

Katambi alikuwa mmoja wao.

Achana na hii SYSTEM
Kitengo kuingiza watu kwenye vyama kwa maana ya kazi ya kiusalama haina tatizo. Shida inakuja pale kitengi kinapofanya kazi ya chama tawala.
 
Kuwatambua spies ni shughuli pevu kweli kweli. Wapo wafagizi barabarani, wafanyakazi majumbani, mama ntilie, watumishi wa dini..kila eneo unalolijua wewe. Huwezi kulaumu CDM.
Kuw akila mahali sio shida ndivyo inatakiwa kwa maan ya kuhakikisha kazi ya usalama. Lakini kutumika kwa chama is a shame!
 
Na wapo wengi sana ambao wanagombea ubunge kwa tiketi ya Chadema.

Maafisa vipenyo wamejazwa Chadema wengi sana, watashinda Uchaguzi lkb watauza majimbo kwa kukubali kushindwa.

Katambi alikuwa mmoja wao.

Achana na hii SYSTEM
Hamna kitu hapo huyo kachomekwa tu huko na maccm Ila hana taaruma yoyote Ile ya usalama wa taifa na raslimali zake
 
afisa kipenyo - ni kweli Shiyanga Kapenya!!
 
Kuwatambua spies ni shughuli pevu kweli kweli. Wapo wafagizi barabarani, wafanyakazi majumbani, mama ntilie, watumishi wa dini.. kila eneo unalolijua wewe. Huwezi kulaumu CHADEMA.
Kiongozi ukichokwa na wananchi umechokwa tu hata uwe nao kwa maelfu kwa maelfu.
 
Usimuamini mwanasiasa hakuna mtu mnafiki kama mwanasiasa
Nyekundu anaweza akakuaminisha ni nyeusi
Na nyeusi akakuaminisha ni nyekundu

Ova
 
Huyo kwenye mapambano ya kivita, tunamuita "mercenary" yaani kwa tafsiri ya kiswahili anaitwa mamluki.

Kwa maana yeye anapolipwa pesa nzuri, yuko tayari hata kupigana dhidi ya kaka yake wa kuzaliwa!
Tunawaita wasasiasa uchwara 'cheap politicians can easily be bought and sold'
 
Hakika ni afisa kipenyo, anapenya mpaka anakuwa bosi watu wapo tu hawajui
Kila taasisi lazima awepo na hata sahvi wakiwa hawana watamfuata mmoja wapo awe Field officer/informant. Na sio kesi maana ni kumonitor tu kuwa nini kinaendelea maadam wanafuata sheria na sio kufanya kazi ya CCM.

Afu lazima ufahamu spy akipandikizwa ni mfumo mzima sio mtu kwahiyo lazima awepo mtu kamati kuu ambaye atambeba hadi afikie ile position wanayotaka.

Na ndio maana Mbowe kulijua hili anatumia narrow approach kwamba unakua na chama ndani ya chama ili taarifa zikishuka ziende kwa watu unaowaamini tu sio kila mtu, otherwise CHADEMA ingeshakufa toka 2013.

Hata siku ile akwilina anafariki kuna katibu wa CHADEMA wilaya fulani hapa Dar ''alitonywa'' aondoke maana kuna "issue" ingetokea. Jamaa alikua Field officer ingawa ni CHADEMA kindakindaki.
 
Vipi ikiwa mbowe nae ni afisa kipenyo?

Back
Top Bottom