zinc
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 1,391
- 1,069
Kuwa mtu wa usalama siyo shida sana, kama ni suala la maslahi mapana ya nchi. Sasa hivi vi maslahi vya watu binafsi ni uchaguzi wa mtu tu atakayekubali kutumika kwa kuahidiwa vyeo. Akina katambi ni watu ambao wanageuka kuangalia maslahi binafsi wala, hawatishi. Utawala ukibadilika huwezi kumsikia tena kwa sababu bei yake ilishathaminishwa. Ndivyo maisha yalivyo, unafanya uchaguzi mwenyewe uwe mbwa wa sokoni au niaje.Vipi ikiwa mbowe nae ni afisa kipenyo?