sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Asante kwa ufafanuzi chief, hapo quality napunguza kucheza ndo wachezaji wataonekana kama vikatuni au ntashusha resolution kwa sanaCpu wise ina meet requirements ila kwenye GPU haimeet requirements,
Sema kwa uzoefu wangu si tatizo utacheza fifa 21 ila kwa quality ndogo, itabidi upunguze graphics quality.
Hawataonekana kama vikatuni, na kama ni humo humo kwenye laptop wala hutauona utofauti mkubwa ukiwa unacheza, mara nyingi quality utaona imedrop pale kunapokuwa na Highlight.Asante kwa ufafanuzi chief, hapo quality napunguza kucheza ndo wachezaji wataonekana kama vikatuni au ntashusha resolution kwa sana
Mkuu samahani,nje ya mada kidogo.Hivi nikiwa natumia VPN katika simu kuna uwezekano bando la internet likawa linatumika zaidi ukilinganisha na nikiwa situmii VPN?Hawataonekana kama vikatuni, na kama ni humo humo kwenye laptop wala hutauona utofauti mkubwa ukiwa unacheza, mara nyingi quality utaona imedrop pale kunapokuwa na Highlight.
Ndio inawezekana likatumika kidogo ama likatumika sana, inategemea na huyo anaekupa vpn.Mkuu samahani,nje ya mada kidogo.Hivi nikiwa natumia VPN katika simu kuna uwezekano bando la internet likawa linatumika zaidi ukilinganisha na nikiwa situmii VPN?
Shukrani mkuu!Ndio inawezekana likatumika kidogo ama likatumika sana, inategemea na huyo anaekupa vpn.
Mfano Opera alikuwa na vpn yake ambayo ina compress kila kitu mpaka video, vpn kama hii ukitumia itasave data pia.
Vpn ya kawaida inakula data zaidi sababu ya Encryption, ili kuzuia data zako zisionekane wanaya encrypt mafile hivyo kuna extra data unadownload tofauti na ile uliotumia, sio sana lakini kipo kiasi zaidi.
Jaribu kulogin na safe mode ili ujue kama ni tatizo la hardware ama software.Mkuu habari yako
samahani nina PC yangu ni MacBook Pro sasa inashida kwenye upande wa kudisplay yan nikiiwasha inawaka vizuli lkn baada ya muda kioo kinakuwa na Rangi nyeusi sasa sijajua nn tatizo lkn logo inakuwa bado ina display kwa upande wa nyumba
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kama mpaka safe mode haikubali pengine ni tatizo la hardware, muone fundi.Nimefanya kama ulivyo nielekeza lkn bado imegoma mkuu View attachment 1570544View attachment 1570545
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mkuu ninaistall FIFA14 kwenye PC inanilieta hii ERROR. Unaweza kunisaidia kutatua hii shida. Natanguliza shukrani.Cpu wise ina meet requirements ila kwenye GPU haimeet requirements,
Sema kwa uzoefu wangu si tatizo utacheza fifa 21 ila kwa quality ndogo, itabidi upunguze graphics quality.
uli verify kama mafile yote yapo sawa na hakuna lililocorrupt? muhimu sana kabla hujaanza installationMkuu ninaistall FIFA14 kwenye PC inanilieta hii ERROR. Unaweza kunisaidia kutatua hii shida. Natanguliza shukrani.View attachment 1593421
uli verify kama mafile yote yapo sawa na hakuna lililocorrupt? muhimu sana kabla hujaanza installation
Hapo Eka 480p mkuu, 800x480 ama 1020x600 hivi itakuwa fresh.mkuu shukrani nimefanikiwa pata gta v kwa fitgirl tatizo graphics pc yangu ni toshiba p55w ina ram 8 proccesor i7 5gen storage ssd tatizo graphics sijui itakuwa ndogo maana game lina lug sana nimepunguza resolution lakini bado 2 lina lug kama una soln naomba mkuu
Hapana.uli verify kama mafile yote yapo sawa na hakuna lililocorrupt? muhimu sana kabla hujaanza installation
Hapo Eka 480p mkuu, 800x480 ama 1020x600 hivi itakuwa fresh.