sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Mzigo ushatoka wa FIFA 2021 tayari upo sokoni
Nina play station ila nimeiacha nyumbani kwajili ya watoto, kwa mwezi ujao nitakuwa na likizo ya kikazi ntasafiri kwenda kijijini (kuna umeme) sitaweza kuja nayo
Napenda kucheza game ya mpira ya FIFA so nataka kununua CD ya FIFA 2021 nadhani itafika baada ya wiki 2 hivi.
Sifa za PC yangu hizi hapa
Graphics Card mbili - "Intell Hd graphics 620" na "NVIDIA Geforce 930MX"
Processor: Intel(R) Core(TM) i5-7200U
Memory: 16 GB
Hard Disk: 1 TB (Nimebakiza Free Space ya GB 350)