Je, PC yangu itafaa kwajili ya FIFA 2021?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
fifa-21-standard-pc-dvd.jpg

Mzigo ushatoka wa FIFA 2021 tayari upo sokoni

Nina play station ila nimeiacha nyumbani kwajili ya watoto, kwa mwezi ujao nitakuwa na likizo ya kikazi ntasafiri kwenda kijijini (kuna umeme) sitaweza kuja nayo

Napenda kucheza game ya mpira ya FIFA so nataka kununua CD ya FIFA 2021 nadhani itafika baada ya wiki 2 hivi.

Sifa za PC yangu hizi hapa

Graphics Card mbili - "Intell Hd graphics 620" na "NVIDIA Geforce 930MX"
Processor: Intel(R) Core(TM) i5-7200U
Memory: 16 GB
Hard Disk: 1 TB (Nimebakiza Free Space ya GB 350)
 
Cpu wise ina meet requirements ila kwenye GPU haimeet requirements,

Sema kwa uzoefu wangu si tatizo utacheza fifa 21 ila kwa quality ndogo, itabidi upunguze graphics quality.
 
Asante kwa ufafanuzi chief, hapo quality napunguza kucheza ndo wachezaji wataonekana kama vikatuni au ntashusha resolution kwa sana
 
Hawataonekana kama vikatuni, na kama ni humo humo kwenye laptop wala hutauona utofauti mkubwa ukiwa unacheza, mara nyingi quality utaona imedrop pale kunapokuwa na Highlight.
 
Mkuu samahani,nje ya mada kidogo.Hivi nikiwa natumia VPN katika simu kuna uwezekano bando la internet likawa linatumika zaidi ukilinganisha na nikiwa situmii VPN?
 
Ndio inawezekana likatumika kidogo ama likatumika sana, inategemea na huyo anaekupa vpn.

Mfano Opera alikuwa na vpn yake ambayo ina compress kila kitu mpaka video, vpn kama hii ukitumia itasave data pia.

Vpn ya kawaida inakula data zaidi sababu ya Encryption, ili kuzuia data zako zisionekane wanaya encrypt mafile hivyo kuna extra data unadownload tofauti na ile uliotumia, sio sana lakini kipo kiasi zaidi.
 
Shukrani mkuu!
 
Mkuu habari yako
samahani nina PC yangu ni MacBook Pro sasa inashida kwenye upande wa kudisplay yan nikiiwasha inawaka vizuli lkn baada ya muda kioo kinakuwa na Rangi nyeusi sasa sijajua nn tatizo lkn logo inakuwa bado ina display kwa upande wa nyumba

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Jaribu kulogin na safe mode ili ujue kama ni tatizo la hardware ama software.

Kuingia safe mode ukiwasha mac yako shikilia shift mpaka itokee logo ya Apple.
 
Cpu wise ina meet requirements ila kwenye GPU haimeet requirements,

Sema kwa uzoefu wangu si tatizo utacheza fifa 21 ila kwa quality ndogo, itabidi upunguze graphics quality.
Mkuu ninaistall FIFA14 kwenye PC inanilieta hii ERROR. Unaweza kunisaidia kutatua hii shida. Natanguliza shukrani.
20201007_214453.jpg
 
uli verify kama mafile yote yapo sawa na hakuna lililocorrupt? muhimu sana kabla hujaanza installation

mkuu shukrani nimefanikiwa pata gta v kwa fitgirl tatizo graphics pc yangu ni toshiba p55w ina ram 8 proccesor i7 5gen storage ssd tatizo graphics sijui itakuwa ndogo maana game lina lug sana nimepunguza resolution lakini bado 2 lina lug kama una soln naomba mkuu
 
Hapo Eka 480p mkuu, 800x480 ama 1020x600 hivi itakuwa fresh.
 
Back
Top Bottom