kwa hyo ww una Amin vipDuh bas ujue una matatizo mengi alafu pesa chache [emoji14] [emoji14] na ndo hali halisi ya watu wengi
jibu mojaNahic kama inategemeana vile
point. ....Si kila tatizo linatatuliwa kwa pesa..!
Fikiria uko sehemu una njaa na watu wale hawajui pesa ila wanachakula na wewe una pesa will you eat yr money?Mfano tatizo gani halitatuliwi kwa pesa katika miaka hii ? Elezea fresh
Duuh sidhani kama kunasehem hawaijui pesa karne hiiFikiria uko sehemu una njaa na watu wale hawajui pesa ila wanachakula na wewe una pesa will you eat yr money?
Uko porini una pesa na una njaa utatafuna pesa yako?
Bushmen na jamii fulani ziko na GUINEA na amazon forest hawajui kabisa issue za pesa..!Duuh sidhani kama kunasehem hawaijui pesa karne hii
Pia hata wakikuhurumia na kukupa msos bure bado pesa itakuwa imehudika tuu kwasababu wao walijua kuwa kuna tatizo la njaa ndo maana wakaandaa chakula hicho na katika kukiandaa ndipo pesa ilipo tumika
Hi JF chit-chat
Bila shaka wote mko poa, nataka maoni yenu please
Nilikaa nikajiuliza kaswali kamoja ivi nikatafakari nikakosa jibu la kuniridhisha nimeamua niwashirikishe ili tupate jibu sahihi zaidi, kaswali kenyewe no haka
"JE, PESA HUMALIZA MATATIZO AU MATATIZO HUMALIZA PESA ?"
Nataka hoja zenu nipate mwenye majibu ya kuridhisha (great thinker)