Je, pesa humaliza matatizo au matatizo humaliza pesa ?

Matatizo ndio humaliza pesa,
Lakini pesa haiwezi kumaliza matatizo,
Ikiwa mpaka billgates nae anamatatizo Bado unadhani pesa inaweza kumaliza matatizo?
NEVER
.
N.B
Kuwa na pesa nyingi pia ni tatizo
 
Matatizo ndio humaliza pesa,
Lakini pesa haiwezi kumaliza matatizo,
Ikiwa mpaka billgates nae anamatatizo Bado unadhani pesa inaweza kumaliza matatizo?
NEVER
.
N.B
Kuwa na pesa nyingi pia ni tatizo
[emoji122] [emoji122] [emoji122] nimekukubali boy

Good idea your a great thinker
 
Hili swali ni sawa kati ya kuku na yai kipi kilitangulia...

Jibu bado loading....
Ilo mbona jibu lake nikuwa kuku ndiye aliye tangulia .

Inapaswa ujiulize Mungu alianza kuumba kuku au yai ? Utajua kuwa kuku ndiye aliye tangulia
 
Inategemea kipi kimetangulia.
Ukiwa na pesa, kisha matatizo yakaja, matatizo yatamaliza pesa.(Hapo roho itaumaaa)

Ukiwa na matatizo, halafu pesa zikaja, pesa zitamaliza matatizo.(Hapo roho kwatu)
 
Inategemea kipi kimetangulia.
Ukiwa na pesa, kisha matatizo yakaja, matatizo yatamaliza pesa.(Hapo roho itaumaaa)

Ukiwa na matatizo, halafu pesa zikaja, pesa zitamaliza matatizo.(Hapo roho kwatu)
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Labda wawe wanyama ndio hawaijui pesa maana pesa ipo tangu enzi za manabii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…