Je, pesa uliyonayo itamudu gharama za maisha yako kwa miaka mingapi bila kufanya kazi?

Wenzetu sijui pesa mnazipatiaga wapi, yaani kila nikijitahidi kusave linaibuka hili, likiisha kodi hii hapa. Enewei naishi vizuri lakini siishi kwa kumsumbua mtu
 
Hapo ndio umuhimu wa assets km apartment unapoonekana, ukiwa nazo wala huwazi kesho itakuwaje?
 
Duuh namshukuru sana boss kununua kopo la kahawa na sukari sasa hivi ni asubuhi kahawa mchana kahawa .Akiba niliyonayo hata jioni tu haifiki .Ila mwakani lazima niwekeze kwenye mifugo.
 
Wenzetu sijui pesa mnazipatiaga wapi, yaani kila nikijitahidi kusave linaibuka hili, likiisha kodi hii hapa. Enewei naishi vizuri lakini siishi kwa kumsumbua mtu
ni vizuri pia mkuu
 
Duuh namshukuru sana boss kununua kopo la kahawa na sukari sasa hivi ni asubuhi kahawa mchana kahawa .Akiba niliyonayo hata jioni tu haifiki .Ila mwakani lazima niwekeze kwenye mifugo.
kwamba unashindia kahawa boss? Nadhan utakua umesave kiasi kikubwa cha pesa
 
Back
Top Bottom