Je, pesa uliyonayo itamudu gharama za maisha yako kwa miaka mingapi bila kufanya kazi?

Mshahara ushaisha jioni naenda kula homu.Hela ya kununu chai na msosi wa mchana haipo hakuna cha kusave.
hapo boss mchahara umeishaje tarehe bdo mwanzo au unajenga?
 
Reactions: EEX
hapo boss mchahara umeishaje tarehe bdo mwanzo au unajenga?
Tajiri mshahara sio wako peke yako ,huo huo ulipe harusi,huo huo kula,huo huo kodi ,huo michango kazini ,nauli,utume kwa wazee ,karo.Mshahara wenyewe ukimfunga nao sisimizi anaondoka nao unamkuta mbele ya safari hukoo.Ila mwakani ntapambana sana nipate chanzo kingine cha mapato.
 
Why mwakani akati muda bado?
 
Punguza tu matumiz mkuu akiba itabaki, haijalishi mshahara ni mdogo ila ukiwa na lengo na ukajibana inawezekana.

Punguza huruma
 
Reactions: EEX
Hizi hesabu unapiga halafu hujui hesabu zako za umri ulizojaaliwa 😂
Ponda mali kufa kwaja mzee ila hongera kwa saving nzuri maaana kwa hicho kipato umetisha mno
 
Hizi hesabu unapiga halafu hujui hesabu zako za umri ulizojaaliwa
Ponda mali kufa kwaja mzee ila hongera kwa saving nzuri maaana kwa hicho kipato umetisha mno
sema ni mkuu, hayo mengne huwa yapo tu, ila tunakaza fuvu tu ivoivo.
Ata mda ukifka tusisumbue ndugu kuchangia pesa ya jeneza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…