Je, pesa uliyonayo itamudu gharama za maisha yako kwa miaka mingapi bila kufanya kazi?

Hii shilingi ya Tanzania inavyoshuka thamani kwa kasi unaiweka ili iweje? Nakushauri jaribu kuwekeza katika miradi ambayo itakuingizia fedha hata kama ni kidogo kidogo. Upunguze utegemezi wa mshahara
Ahsante sana mkuu, hili ntalifanyia kaz
 
HONGERA..
 
Mwaka mzima million 2, so hauna familia wala majukumu ya ndugu?
ndio mkuu sina family, ila najipanga nikioa mwanamke kama kichwa hakina mambo mengi ntaongeza biashara ata ya duka ili bajet iswe tofaut.

Ndugu nao wanajipambania, msaada tutasaidiana jambo la mhimu ila kama si mhim sana huwa naruka tu.
 
Hapa napambana kwanza nipate Tsh 2,250/= ya kunirudisha jioni.

Kwamba 1,250/= nauli ya Mwendokasi Kariakoo to Mbezi hiyo buku nauli ya bodaboda kunisogeza mtaani then mengine yata-jiset.
mkuu jipange ununue baiskel ya kuchaj au pkpk kuminimize gharama ya nauri nenda rud
 
ndo ivo mkuu maisha hayatabiriki.

Kuna ndugu yang mbagara mwaka fulan aliugua, akaenda kujitibia india.
Alitumia kama 30milions, bila kuchangsha ndugu, na hakuyumba

Ase ilinifkilsha sana, kama huna unakufa ndugu wanakujaga kujitoa msiban.

Niliwaza kumbe ninasafari ndefu nijipambanie
 
Ni kwa mwaka? Dah aisee ni sawa na kipato cha $4 kwa siku! Pambana sana mkuu safari bado ndefu sana
ndo hvo mkuu bidii ntaongeza na mifumo mipya, nabakza pesa ndogo mno kwa mwaka.
 
Imeandikwa,
asie fanya kazi na asile gentleman.

ni muhimu sana kuzidisha juhudi katika kufanya kazi na kujiongezea kipato zaidi kwa faida yako binafsi, familia na wale wote ambao watapata fursa ya kufaidika kwa namna mbalimbali kupitia mafanikio yako 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…