Mme Mwenza
JF-Expert Member
- Feb 6, 2025
- 2,950
- 4,285
- Thread starter
- #61
kabxa mkuuTukaze mkuu
kabxa mkuuTukaze mkuu
Ndio maana hata tukiumwa huwa tunajikaza tunajiuguza ukiwa eneo la kazi maana ukisema ulale mambo yanaharibika zaidi.Binafsi napumulia kwenye masaa 24 mpaka Sasa
Kwa mwezi expence sio Chini 1m-800,000/=.Habari wana jamvi!
Binafisi nimepga hesabu gharama nazotumia kuendesha maisha yangu ndan ya mwaka mzima, nimepata jumla Tsh2,150,000.
Na huku makadirio ya kipato changu kwa mwaka(nimejiajiri) nimepata wastan wa Tsh 4,000,000.
Kwa mwaka faida inabaki 1.8M..
- Nimegundua bado nahitaji mapambano zaidi au biashara ya ziada kufix matumiz kwa mwaka mzma.
Angarau kwa mwaka faida ibaki 5,000,000.
- Japo kwa sasa naweza ishi bila kujishughulisha, nikala nikavaa na kulala(kutoa magonjwa) ndani ya miaka 9.
Vipi mpambanaji mwenzangu, bila kaz yeyote, pesa na akiba uliyonayo unaweza mudu gharama za maisha kwa mda gan?
Juzi kuamkia Jana sikulala kabisa nilibanwa kifua mnoo asubuhi huna namna unaamka unaponea ukiwa kwenye mapambanoNdio maana hata tukiumwa huwa tunajikaza tunajiuguza ukiwa eneo la kazi maana ukisema ulale mambo yanaharibika zaidi.
Hakikatuongeze mbinu mkuu
mkuu tathimin namna unavoishi na hapo mim najibana, make npo pekee.Kwa mwezi expence sio Chini 1m-800,000/=.
Hayo matumizi ya 2m kwa mwaka ,nifundishe mkuu, Nianze kubajet.
Ni afadhali kidogo ukiwa na kazi umeshawahi kuvuta picha hauna kazi halafu una familia nyumbani wote wanategemea kichwa chako wanakusubiri utoke ndipo wale wavae na watoto waende shule...? Unaamka asubuhi unatoka lakini hujui unaelekea wapi.. haya maisha haya yakiamua kugeuka omba sana yasikukuteNdio maana hata tukiumwa huwa tunajikaza tunajiuguza ukiwa eneo la kazi maana ukisema ulale mambo yanaharibika zaidi.
ndo hvo mkuu, mie hapa mda huu naumwa ila mda wa kazi kama kawaida kupambana mpaka kielewekeNdio maana hata tukiumwa huwa tunajikaza tunajiuguza ukiwa eneo la kazi maana ukisema ulale mambo yanaharibika zaidi.
daah changamoto nazo huja kumpa mtu mbinu ya kujinasua, tupambanen tu mkuuNi afadhali kidogo ukiwa na kazi umeshawahi kuvuta picha hauna kazi halafu una familia nyumbani wote wanategemea kichwa chako wanakusubiri utoke ndipo wale wavae na watoto waende shule...? Unaamka asubuhi unatoka lakini hujui unaelekea wapi.. haya maisha haya yakiamua kugeuka omba sana yasikukute
Uko sahihi kuna msemo unasema kusichokuua kinakuimarisha ila hua nikikaa nakumbuka mengi sana umehangaika mjini umefanikiwa kupata unga kidogo na dagaa Wa buku unampigia simu wife abandike maji ya ugali ukiangalia muda unasoma saa nne usiku watoto wanaamshwa Ili wale...daah changamoto nazo huja kumpa mtu mbinu ya kujinasua, tupambanen tu mkuu
Tafuta hela fukara wewe.Habari wana jamvi!
Binafisi nimepga hesabu gharama nazotumia kuendesha maisha yangu ndan ya mwaka mzima, nimepata jumla Tsh2,150,000.
Na huku makadirio ya kipato changu kwa mwaka(nimejiajiri) nimepata wastan wa Tsh 4,000,000.
Kwa mwaka faida inabaki 1.8M..
- Nimegundua bado nahitaji mapambano zaidi au biashara ya ziada kufix matumiz kwa mwaka mzma.
Angarau kwa mwaka faida ibaki 5,000,000.
- Japo kwa sasa naweza ishi bila kujishughulisha, nikala nikavaa na kulala(kutoa magonjwa) ndani ya miaka 9.
Vipi mpambanaji mwenzangu, bila kaz yeyote, pesa na akiba uliyonayo unaweza mudu gharama za maisha kwa mda gan?
Hapa umenena mkuumichongo ipo shambani mkuu..
Kama huna mda wa kulima, kusanya pexa wakat wa mavuno nunua mpunga/mahind weka store.
Andaa mkuu muda umekaribia.hahahaha daah sawa mkuu, wacha niandae nondo
Kwamba akiba yako Ina weza last miaka 30+ ehh😊Sitaki dhambi comrade