Je, pesa uliyonayo itamudu gharama za maisha yako kwa miaka mingapi bila kufanya kazi?

Je, pesa uliyonayo itamudu gharama za maisha yako kwa miaka mingapi bila kufanya kazi?

Imeandikwa,
asie fanya kazi na asile gentleman.

ni muhimu sana kuzidisha juhudi katika kufanya kazi na kujiongezea kipato zaidi kwa faida yako binafsi, familia na wale wote ambao watapata fursa ya kufaidika kwa namna mbalimbali kupitia mafanikio yako 🐒
Umeulizwa swali uko busy kuandika mashudu. Jibu swali, pesa yako inakulisha siku/wiki/miezi/miaka mingapi bila kufanya kazi?
 
Ukienda sokoni na buku kumi unarudi na vitunguu, nyanya, karoti na hoho za keho tu...

Hilo ni jibu tosha kuwa nikilala leo hela ya kula ni ya kesho tu.
 
Uko sahihi kuna msemo unasema kusichokuua kinakuimarisha ila hua nikikaa nakumbuka mengi sana umehangaika mjini umefanikiwa kupata unga kidogo na dagaa Wa buku unampigia simu wife abandike maji ya ugali ukiangalia muda unasoma saa nne usiku watoto wanaamshwa Ili wale...
daah haya maisha ndugu yangu wee acha tu, history zetu za nyuma ndo znatufanya tupambane kufa kupona.

Mim nimekulia maisha ya kishua, ila katikat mzee akafeli.
Asee kama unavosema wew hapo ucku alete kilo ya unga ndo mpke mle, ila nimejifunza kitu kutokana na kuporomoka kwa mzee.
 
tuzid kupambana mkuu, starehe kando kwanza hasa madem
Sasa tuweke mademu kando alafu tupige nyeto 🤣🤣🤣🤣
Acheni hizo bwana...mbususu buku 20 tuu unapata unaburidika.
Anayesema mademu ni chanzo cha kufuja pesa huyo ni muwongo
 
Kuna sisi wajuba tunavyoishi na kutoboa siku, ni mungu mwenyewe ndio anajua.

🤣🤣
 
Sasa tuweke mademu kando alafu tupige nyeto
Acheni hizo bwana...mbususu buku 20 tuu unapata unaburidika.
Anayesema mademu ni chanzo cha kufuja pesa huyo ni muwongo
hahahaha nimepga kweny mshono mkuu.
madem sawa ila kuna wale madem chuma ulete watakutoa kweny reli.
mwisho kama wew mwili hujaset fresh na unafanya biashara, usilale na kila siketi ikatizayo mbele yako.
Wengne dam mbaya ukilala nae mambo hayaendi.
 
Ukienda sokoni na buku kumi unarudi na vitunguu, nyanya, karoti na hoho za keho tu...

Hilo ni jibu tosha kuwa nikilala leo hela ya kula ni ya kesho tu.
mkuu iwepo njia mbadara tu hapo
 
Habari wana jamvi!

Binafisi nimepga hesabu gharama nazotumia kuendesha maisha yangu ndan ya mwaka mzima, nimepata jumla Tsh2,150,000.

Na huku makadirio ya kipato changu kwa mwaka(nimejiajiri) nimepata wastan wa Tsh 4,000,000.

Kwa mwaka faida inabaki 1.8M..

- Nimegundua bado nahitaji mapambano zaidi au biashara ya ziada kufix matumiz kwa mwaka mzma.
Angarau kwa mwaka faida ibaki 5,000,000.

- Japo kwa sasa naweza ishi bila kujishughulisha, nikala nikavaa na kulala(kutoa magonjwa) ndani ya miaka 9.

Vipi mpambanaji mwenzangu, bila kaz yeyote, pesa na akiba uliyonayo unaweza mudu gharama za maisha kwa mda gan?
Uzi mzuri ila mgumu kucomment. Hapa nimejikaza kweli🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom