Mme Mwenza
JF-Expert Member
- Feb 6, 2025
- 2,950
- 4,285
- Thread starter
- #101
ndio natafta mkuu, cjakoma bdoTafuta hela fukara wewe.
ndio natafta mkuu, cjakoma bdoTafuta hela fukara wewe.
Mbadala wake ni nini sasa?mkuu iwepo njia mbadara tu hapo
daaa yan we acha tu.Wengine swali hilo linawatesa maana hata mchana hawajafanikiwa kutupia kitu kinywani.
Maisha ni hadithi
mbadara wake mkuu, nikuangalia location nzuri tu au jamii inayokuzunguka inataka nin.Mbadala wake ni nini sasa?
ngoja waje humu kuna vigogoMe natafuta dili (dili lolote lile la kiume)
Isiwe kazi ya kudumu as nikipata tu pesa nna issues Zang za kuziamsha ili nirud kwenye mstari.
cjakuelewa mkuuPesa gani?
sema pesa haina mazoea mkuu!Kwa Sasa Ni wiki moja
Mtaji changamoto mkuu!mbadara wake mkuu, nikuangalia location nzuri tu au jamii inayokuzunguka inataka nin.
Au wekeza mbali ikibid, kilimo na ufugaji navyo vinaweza kukubalance kimaisha.
Kama huwez shamban kusanya pesa wakat wa mavuno nunua weka store hasa mpunga na mahind huwa vinapanda bei kila uchwao.
Hapo unakua umetunza pesa yako ya baadae na itazaa kutokana na mazao kupanda bei.
Hapo unamzidi hata anaewekeza cjui UTT, n.K
Hamna mambo ya damu mbaya...hayo mambo mbona hatusikii huko ulaya kwenye porno industry wanagegeduana na mademu tofauti lakini ndio hela zao zinajenga vyoo vya watoto wetu huku.hahahaha nimepga kweny mshono mkuu.
madem sawa ila kuna wale madem chuma ulete watakutoa kweny reli.
mwisho kama wew mwili hujaset fresh na unafanya biashara, usilale na kila siketi ikatizayo mbele yako.
Wengne dam mbaya ukilala nae mambo hayaendi.
Hahaha ila hili nalo neno. Sasa tufanyaje na hela zetusema pesa haina mazoea mkuu!
Unaweza pata nying ukajsemea 'hapa nakula hadi uzeeni' ila kesho kutwa tu hazpo zote.
share tu mkuu! hakuna anaekufaham humu.Uzi mzuri ila mgumu kucomment. Hapa nimejikaza kweli
mkuu mtaji ni kile ulichonacho ata kiwe kidogo.Mtaji changamoto mkuu!
HUMU HAKUNA USIRIAZIMwaka mzima million 2, so hauna familia wala majukumu ya ndugu?
hahahaha duu kwahyo ukitoa huo ufalme huenda ukakata miez mitatu mkuuMimi bila kazi na kwa akiba niliyonayo sasa.. naweza kuishi kama mfalme kwa miezi miwili
Yani wiki ya kwanza napiga juice,nyama nyama kwa sana,, wiki ya pili nabaki na juice pekee , wiki ya tatu nabaki na maji, wiki ya nne nalamba kikombe tu!