Je, pesa uliyonayo itamudu gharama za maisha yako kwa miaka mingapi bila kufanya kazi?

Je, pesa uliyonayo itamudu gharama za maisha yako kwa miaka mingapi bila kufanya kazi?

Kukikucha ndo unajua nini kifanyike, mambo ya kupigia mahesabu miaka ambayo haiko mikononi mwako, pigia muda ulionao sasa hivi
 
Mambo ya Wazungu hayo sisi huku Africa tunasema Riziki ya Mbwa Iko Miguuni Mwake, Ivo utoke ndo watu wale
 
Kukikucha ndo unajua nini kifanyike, mambo ya kupigia mahesabu miaka ambayo haiko mikononi mwako, pigia muda ulionao sasa hivi
mda badobado sana kiongozi kufkia 30
 
Matumizi ya milioni mbili kwa mwaka bachela means kwa wastani ni 190,000 kwa mwezi....Ukiigawa kwa siku maana yake elfu 3 ,je hiyo elfu tatu unatumiaje kwa siku kuanzia breakfast ,lunch ,dinner ? Vocha ,maji ya kunywa ,nauli etc?
 
hapa cjui nikujibu vip..
Nina mtindo wa kununua vitu vya kutumia mda mrefu haya mambo ya chakula, Sili hotel najipikia.
Vocha buku mbil kwa mwez MB na dakik.

Nauri nina pikpik yangu pia baiskel
 
Mzee hizi hesabu zako mbona hazijakaa sawa?

Yaani unaishi kwa 2,150,000/= kwa mwaka?

So hebu tupige hesabu kidogo, Tshs 2,150,000 ÷ siku 365 = Tshs. 5890/siku.

Yaani matumizi yako kwa siku bila kumtegemea mtu au chochote kwa siku inagharimu shilingi 5890?

Yaani kwa mwezi wewe unatumia wastani wa shilingi 176,712?

Hii imekaaje mzee?

Chakula, umeme,matibabu,usafiri, bundles za mawasiliano yako, haujasaidia watu, etc.

Hizi hesabu sijui umepigaje.
 
Back
Top Bottom