Mme Mwenza
JF-Expert Member
- Feb 6, 2025
- 2,950
- 4,285
- Thread starter
- #121
huwa ni siri ya mtu kusafisha mwili mkuu.Hamna mambo ya damu mbaya...hayo mambo mbona hatusikii huko ulaya kwenye porno industry wanagegeduana na mademu tofauti lakini ndio hela zao zinajenga vyoo vya watoto wetu huku.
Hilo unalielezaje ?
Kuna matajiri weng wanasiri zao ucku, ila mchana wapo safi na ibaada wanahudhuria.
Kawaulze madada poa wanaolala na watu tofauttofaut.. Huwa wanaenda kujire-new kwa sangoma ili asichache sokon