Je, pesa uliyonayo itamudu gharama za maisha yako kwa miaka mingapi bila kufanya kazi?

Je, pesa uliyonayo itamudu gharama za maisha yako kwa miaka mingapi bila kufanya kazi?

Mzee hizi hesabu zako mbona hazijakaa sawa?

Yaani unaishi kwa 2,150,000/= kwa mwaka?

So hebu tupige hesabu kidogo, Tshs 2,150,000 ÷ siku 365 = Tshs. 5890/siku.

Yaani matumizi yako kwa siku bila kumtegemea mtu au chochote kwa siku inagharimu shilingi 5890?

Yaani kwa mwezi wewe unatumia wastani wa shilingi 176,712?

Hii imekaaje mzee?

Chakula, umeme,matibabu,usafiri, bundles za mawasiliano yako, haujasaidia watu, etc.
hapo kwa wastani, wiki matumizi yangu ni 45,000.

  • Kuhusu chakula Huwa nanunua vya mda mrefu si rejareja, pia najipikia sili mgahawani.
  • matibabu huwa nakata BIMA.
  • Bandle kwa wiki 2000 dk na mb. nazaid haswa mb, ukiwa huna kazi matumiz huongezeka.
  • usafiri nina kibaiskel changu pia pikipik, hapo nimesave nauri. kuhusu mafuta njian naokota abiria wawil najaza wese.
  • kusaidia watu hapo ni mpaka shida maalum, sipend watu wakuja wanalialia shida kila mara na huku ukiwangalia wanaweza kujinasua
 
Mzee hizi hesabu zako mbona hazijakaa sawa?

Yaani unaishi kwa 2,150,000/= kwa mwaka?

So hebu tupige hesabu kidogo, Tshs 2,150,000 ÷ siku 365 = Tshs. 5890/siku.

Yaani matumizi yako kwa siku bila kumtegemea mtu au chochote kwa siku inagharimu shilingi 5890?

Yaani kwa mwezi wewe unatumia wastani wa shilingi 176,712?

Hii imekaaje mzee?

Chakula, umeme,matibabu,usafiri, bundles za mawasiliano yako, haujasaidia watu, etc.

Hizi hesabu sijui umepigaje.
na hyo 45,000 kwa wiki, huenda ni kubwa sana emergence nyingi ndo znanifkisha hapo, ndugu, kanisan, nguo n.k. Bila ivo kwa wiki ni 20,000 kushuka chini.
 
na hyo 45,000 kwa wiki, huenda ni kubwa sana emergence nyingi ndo znanifkisha hapo, ndugu, kanisan, nguo n.k. Bila ivo kwa wiki ni 20,000 kushuka chini.
Me kwa mwaka tu michango ya harusi na misiba huwa nadhani haishuki milioni 1. Harusi za ndugu,jamaa,rafiki,madogo,majirani. Ukiacha upande wako kuna upande wa mke wako na yeye anakutegemea umpe tafu michango yake.

So haiwezekani kwakweli
 
Mwaka mzima million 2, so hauna familia wala majukumu ya ndugu?
Hata mtu binafsi mimi naona ni ngumu kutoboa kwa wastani wa sh. 180,000 kwa mwezi, yaani 6000 kwa siku. Wenzetu mnawezaje?
Yaani nauli, kula, bili za maji na umeme, mavazi, Hospitali, bundle la simu, michango ya kijamii....I mean, how??
 
Habari wana jamvi!

Binafisi nimepga hesabu gharama nazotumia kuendesha maisha yangu ndan ya mwaka mzima, nimepata jumla Tsh2,150,000.

Na huku makadirio ya kipato changu kwa mwaka(nimejiajiri) nimepata wastan wa Tsh 4,000,000.

Kwa mwaka faida inabaki 1.8M..

- Nimegundua bado nahitaji mapambano zaidi au biashara ya ziada kufix matumiz kwa mwaka mzma.
Angarau kwa mwaka faida ibaki 5,000,000.

- Japo kwa sasa naweza ishi bila kujishughulisha, nikala nikavaa na kulala(kutoa magonjwa) ndani ya miaka 9.

Vipi mpambanaji mwenzangu, bila kaz yeyote, pesa na akiba uliyonayo unaweza mudu gharama za maisha kwa mda gan?
wenzio usiwaige wana wapangaji kwenye nyumba za urithi
 
Wengine ni hand to mouth, tusipotoka ndani watoto wanalala njaa :Bedge: :Bedge:


"Don’t wear yourself out trying to get rich. Be wise enough to know when to quit. In the blink of an eye wealth disappears, for it will sprout wings and fly away like an eagle."

pro.23.4-5.NLT
 
Me kwa mwaka tu michango ya harusi na misiba huwa nadhani haishuki milioni 1. Harusi za ndugu,jamaa,rafiki,madogo,majirani. Ukiacha upande wako kuna upande wa mke wako na yeye anakutegemea umpe tafu michango yake.

So haiwezekani kwakweli
duuuh 1M michango tu, bdo matumiz yako.
ila kikubwa kama mwisho wa mwaka balance inabaki au kitu umefanya cha maana, kutokana na kipato, sio mbaya.
 
Hata mtu binafsi mimi naona ni ngumu kutoboa kwa wastani wa sh. 180,000 kwa mwezi, yaani 6000 kwa siku. Wenzetu mnawezaje?
Yaani nauli, kula, bili za maji na umeme, mavazi, Hospitali, bundle la simu, michango ya kijamii....I mean, how??
nahayo ni makadirio ya juu, siku zingne znapita cjagusa pesa kivovote vile..

Chakula ndani kiwemo, pikipik inamafuta au baiskel safar za karibu.

Jifunze tu kununua vitu kwa jumla na si rejareja mkuu.
Kuhusu afya kata bima.
kod ya nyumba hua nalipa ya mwaka mzma, kuondoa stress za hodi za mwenye nyumba. nabaki kuitafta faida ya mwaka sasa.
 
Back
Top Bottom