Je, pesa uliyonayo itamudu gharama za maisha yako kwa miaka mingapi bila kufanya kazi?

Je, pesa uliyonayo itamudu gharama za maisha yako kwa miaka mingapi bila kufanya kazi?

Imeandikwa,
asie fanya kazi na asile gentleman.

ni muhimu sana kuzidisha juhudi katika kufanya kazi na kujiongezea kipato zaidi kwa faida yako binafsi, familia na wale wote ambao watapata fursa ya kufaidika kwa namna mbalimbali kupitia mafanikio yako
ndo hvo kamanda
 
Hiyo miaka 9 si halisi. Mwakani tu hapa unaweza usinunue unga kwa bei unayonunulia leo.
ubwabwa na mahindi sinunui mkuu nina ghara. Najilimia pia nanunua nakuweka store
 
Ile corona ikitufundisha watu walioajiriwa katika sekta binafsi wana ukwasi wa kuweza kuendesha maisha yao kwa bila kufanya kazi kabisa kwa hadi masaa 720. Baada ya hapo wanaanza kupumulia mashine.
Sisi wengine tuna ukwasi wa kuendesha maisha bila kazi kwa wiki tu chalii!
Wengine masaa 24 kwisha habari.

Ila tusichekane, kuna watu maarufu walipoumwa na wakatumia pesa ya kula katika matibabu, baada ya miezi 2 wakaanza kutembeza bakuli tena safari hii bila aibu.

Tulio wengi kipato tunachopata kwa siku kina uwezo wa kuendesha maisha kwa siku 2 au zikizididi 3.
Binafsi napumulia kwenye masaa 24 mpaka Sasa
 
Aisee nilishajaribu sana bado bila bila tunasonga mbele hivyo hivyo kigumu
huenda ulikua unaendesha mambo mawil kwa mkupuo mkuu.
Pia badiri tu mfumo wako wa maisha.

Pia Kilimo kinahitaji mda na mtaji mkuu
 
Back
Top Bottom