Je polisi wanatoa wapi nguvu ya kututisha watanganyika ikiwa polisi Mmoja anahudumia wananchi 1,300 tofauti na kiwango vya umoja wa mataifa

digba sowey

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
10,508
Reaction score
23,368
Leo nikiwa na pitia hoja za maandamano na mikwara ya polisi juu ya maandamano haya,nikatamani kujua uwinginwa hawa polisi,hakika nilishngaa,kwani Kwa mujibu wa takwimu zilizopo, askari polisi mmoja nchini Tanzania anahudumia wastani wa wananchi takriban 1,300. Hii ni tofauti na viwango vinavyopendekezwa na Umoja wa Mataifa, ambapo inashauriwa askari polisi mmoja ahudumie takriban wananchi 450.

📊 Kwa maana hiyo:-
  • Uwiano huu unaonyesha kuwa kuna upungufu mkubwa wa askari polisi nchini, jambo linaloweza kuathiri utoaji wa huduma za usalama na ulinzi kwa wananchi.
  • Askari wengi wanatumika katika maeneo maalum kama kulinda viongozi, shughuli za utawala, na usalama barabarani, hivyo kupunguza idadi ya askari walioko moja kwa moja kwa huduma za jamii.

Kwa dhana hii,hao polisi hata wakipewa nafasi ya kutuliza ghasia Jiji la Dares salaam hawatoshi hata kidogo, nashauri polisi watuache tutimize jambo letu kwani vyoyote iwavyo kamwe hatatuweza.

October 29 Natoka
 
Wanajua wabongo wengi ni kama wanyama nyumbu ambao hata wakiwa 1000 wanatishwa na Simba ama Chui mmoja kisha hutawanyika. Kufeli kwa maandamano ya UKUTA Sept. 1 2016, na yale ya April 26 2018, kunawapa uzoefu wa uoga wa watanganyika.
 
Leo nikiwa na pitia hoja za maandamano na mikwara ya polisi juu ya maandamano haya,nikatamani kujua uwinginwa hawa polisi,hakika nilishngaa,kwani Kwa mujibu wa takwimu zilizopo, askari polisi mmoja nchini Tanzania anahudumia wastani wa wananchi takriban 1,300. Hii ni tofauti na viwango vinavyopendekezwa na Umoja wa Mataifa, ambapo inashauriwa askari polisi mmoja ahudumie takriban wananchi 450.

📊 Kwa maana hiyo:-
  • Uwiano huu unaonyesha kuwa kuna upungufu mkubwa wa askari polisi nchini, jambo linaloweza kuathiri utoaji wa huduma za usalama na ulinzi kwa wananchi.
  • Askari wengi wanatumika katika maeneo maalum kama kulinda viongozi, shughuli za utawala, na usalama barabarani, hivyo kupunguza idadi ya askari walioko moja kwa moja kwa huduma za jamii.

Kwa dhana hii,hao polisi hata wakipewa nafasi ya kutuliza ghasia Jiji la Dares salaam hawatoshi hata kidogo, nashauri polisi watuache tutimize jambo letu kwani vyoyote iwavyo kamwe hatatuweza.

October 29 Natoka
Pesa za Mama Samuya zimewalevya, amepeleka magunia ya kutosha huko.
 
Hii kitu imeuwa watu wengi sana ulimwengu wa tatu kuliko nchi na bara ilikotengenezwa

1760645707121.png
 
Kulingana na takwimu za ajira Tanzania idadi ya wafanyakazi inakadiriwa kuwa ni 540,000-600,000

Na katika idadi iyo watu wa ulizi na usalama maana yake jeshi, polisi, magereza, usalama na vikosi vingne vyote vya sili ni 15% ya wafanyakaz wote
5400,000-600,000 zen utoe 15% yao
 
Tukiondoa uoga mbona tunaikomboa nchi yetu.
 
Mmeshakusanyana nyote na kuelewana kwamba matatizo yenu ni (umasikini, Ujinga na Magonjwa) ili kweli hata hao Polisi watakuwa upande wenu au bado mmegawanywa kwa misingi ya Udini, Uvyama, Ukabila na Kipato (kwamba wanaopiga kelele wana wivu au hawajapata fursa na sio kwamba wanagombania haki yao) ?

Ukiangalia hapo juu utagundua kwamba hizo namba ulizoweka zinapungua maradufu
 
Hakika sisi watanzania wote ni wezi

Mimi mwenyewe niliugundua huu mchezo kitambo.

Ndo maana hizi hela za kampeni sijazionea huruma nipo nazipiga bila huruma
 
Back
Top Bottom