Je, Poulsen kumng'oa Zahera Yanga ?

Yanga Zahera ni Bonge la Kocha. Basi tu hamjafaham hilo. MI NASHAURI APEWE MUDA.APEWE HATA MIAKA 5 YA KUJIPANGA.
 
Mkia wa kiti moto wewe
We mdhihaki tu, lakini Ukweli unabaki pale pale Kwamba Yanga kwa Sasa inamuhitaji Kocha Zahera kuliko kinyume chake.
Zahera ni Kocha mzuri sana kuwahi kutokea kuifundisha Yanga.
Kocha Pruijin alikuwa anabebwa na Pesa ya Manji tu Kama anavyobebwa Kocha wa Simba Aussein kwa Pesa Ya MO.
Simba tungekuwa na Kocha Kama Zahera, Yaani hiki kikosi cha Simba kingekuwa chini ya Fundi Zahera, Simba isinge gusika na watu Kama U.D.Songo.
Zahera anaonekana hivyo kutokana na hali ya ukata unaoikabili Yanga na kupelekea Kusajiri wachezaji wa viwango vya chini Kama akina Mnamibia.
Nasema hivyo Kama Mwanamichezo, Ila nikizungumza Kama mshabiki wa Simba nasema hivi.
"Mfukuzeni Zahera Haraka Sana"
 
wachezaji aliokuwa anawataka zahera yanga hawakumletea. Zahera alikuwa anawataka kina Mo Salah, Messi, Ronaldo halafu nyie mnamletea kina balinya halafu bado mnalalamikia matokeo
 
Wewe hakika ni mwana michezo
 
Chini ya Mwalimu Mwinyi Zahera, naamini hakuna siku itatokea Yanga ikachukua ubingwa/kikombe cha aina yoyote kile. Maana falsafa zake za nje na ndani ya uwanja, ni ngumu sana kuzielewa.
 
Miaka miwili mitatu tutatembea vipi mtaani mbele ya bodaboda fc
 
Zahera, he needs more time to build Dar Young Africans, most of the players are new therefore needs time to know each other and to play as a team. Give him more time.
 
Chini ya Mwalimu Mwinyi Zahera, naamini hakuna siku itatokea Yanga ikachukua ubingwa/kikombe cha aina yoyote kile. Maana falsafa zake za nje na ndani ya uwanja, ni ngumu sana kuzielewa.
Labda wachukue kikombe cha chai
 
Zahera alijitolea na kufanya kazi bila mshahara mwaka jana, Paulsen ataweza? Pili, Yanga Yanga wenyewe wameshamlipa Zahera malimbikizo ya mishahara yake?

Vv
 
Wewe mpira unaujua kabisa unafaa kuwa benchi la ushauri
 
Miaka miwili mitatu tutatembea vipi mtaani mbele ya bodaboda fc
Hapa ndipo mashabiki wengi wa soka wa Tanzania wanapokosea. Timu hizi zinatakiwa zitengenezwe kisasa kushindana kimataifa na sio kuanza kufikiria mambo ya kizamani sijui Simba kamfunga Yanga au Yanga kamfunga Simba basi. Jiulize kidogo tu Simba waliingiza kiasi gani mwaka jana baada ya kuingia tu robo fainali kwenye CAF champions ligi? Je iwapo wangeingia nusu fainali au hata fainali wangepata kiasi gani? Ni wakati sasa wa Tanzania tujue kuwa timu ya ushindani intengenezwa si chini ya miaka mitatu.
 
We mechi za Yanga sijui hata kama unaangaliaga naona unaandika maneno mengiii.

Zahera ukiangalia msimu huu toka umeanza yaani kila mechi hakuna mabadiliko yoyote ya kiuchezaji timu ndo inazidi kucheza ovyo kila mechi sasa nani wa kuwajibika?

Timu inacheza mpira haueleweki yani ni kubutua butua tu sasa kocha anafanya kazi gani?

Wachezaji alowataka wote wameletwa na hawaonekani kuonyesha hata kiwango nani wa kuwajibika hapo?
 
Hebu tupe mafanikio ya Zahera katika club level unayoyajua tuone uzuri wake unaouongelea hapa?

Zahera alikiri mwenyewe wachezaji wote alowataka amewapata sasa mbona unatupa taarifa tofauti hapa?

Kila mechi ya Yanga msimu huu wakicheza huoni development yoyote ya timu zaidi ya kubua na kufunga magoli ya kubahatisha .
 
Hiyo development imefanywa na timu gani ya Tanzania Mwaka huu ?
Mwaka huu timu iliyofanikiwa Ni Yanga FC.
Imecheza hatua ya pili ya Club Bingwa Afrika.
Imecheza pia Mashindano ya Washindi Afrika na Pyramids.
Kati ya timu nne zilizoingia CAF championship Yanga ndio imecheza hatua ya pili ya mashindano hayo.
Turudi kwenye Ligi ya TPL Yanga imefungwa mechi moja, Simba pia Mechi moja.
Hakuna timu ambayo haijafungwa.
Subiri matokeo ya Yanga baada ya kuondoka Zahera, utaona tofauti kubwa.
 
Huo sasa unaoleta ni utabiri ambao unaweza usitokee pia.
Tunachoongelea hapa ni namna timu inavo struggle kupata matoke na mpira mbovu inaocheza.

Haiwezekani timu inakocha kutoka nje alafu inacheza mpira wa kubutua yaani hamna tofauti na yoyote ukiangalia Yanga inavocheza na ukiangalia Namungo inavocheza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…