Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,433
- 8,585
Nasiki Timu ya ligi kuu ufaransa REMIS wanamtakaHuyu kocha hata Madrid anafundisha vzr tu..
apewe muda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasiki Timu ya ligi kuu ufaransa REMIS wanamtakaHuyu kocha hata Madrid anafundisha vzr tu..
apewe muda
We mdhihaki tu, lakini Ukweli unabaki pale pale Kwamba Yanga kwa Sasa inamuhitaji Kocha Zahera kuliko kinyume chake.Mkia wa kiti moto wewe
We mdhihaki tu, lakini Ukweli unabaki pale pale Kwamba Yanga kwa Sasa inamuhitaji Kocha Zahera kuliko kinyume chake.
Zahera ni Kocha mzuri sana kuwahi kutokea kuifundisha Yanga.
Kocha Pruijin alikuwa anabebwa na Pesa ya Manji tu Kama anavyobebwa Kocha wa Simba Aussein kwa Pesa Ya MO.
Simba tungekuwa na Kocha Kama Zahera, Yaani hiki kikosi cha Simba kingekuwa chini ya Fundi Zahera, Simba isinge gusika na watu Kama U.D.Songo.
Zahera anaonekana hivyo kutokana na hali ya ukata unaoikabili Yanga na kupelekea Kusajiri wachezaji wa viwango vya chini Kama akina Mnamibia.
Nasema hivyo Kama Mwanamichezo, Ila nikizungumza Kama mshabiki wa Simba nasema hivi.
"Mfukuzeni Zahera Haraka Sana"
Yanga wasije wakajichanganya tena kwa Pluijm kwa sababu sidhani kama ana jipya katika soka la bongo. Ila wakimpata Poulsen ni bonge la kocha. Falsafa yake ya kutumia vijana ni nzuri iwapo tu watampa muda wa miaka miwili/mitatu na mashabiki ni lazima wawe wavumilivu sana kuweza kuona matunda yake.
Labda wachukue kikombe cha chaiChini ya Mwalimu Mwinyi Zahera, naamini hakuna siku itatokea Yanga ikachukua ubingwa/kikombe cha aina yoyote kile. Maana falsafa zake za nje na ndani ya uwanja, ni ngumu sana kuzielewa.
We mdhihaki tu, lakini Ukweli unabaki pale pale Kwamba Yanga kwa Sasa inamuhitaji Kocha Zahera kuliko kinyume chake.
Zahera ni Kocha mzuri sana kuwahi kutokea kuifundisha Yanga.
Kocha Pruijin alikuwa anabebwa na Pesa ya Manji tu Kama anavyobebwa Kocha wa Simba Aussein kwa Pesa Ya MO.
Simba tungekuwa na Kocha Kama Zahera, Yaani hiki kikosi cha Simba kingekuwa chini ya Fundi Zahera, Simba isinge gusika na watu Kama U.D.Songo.
Zahera anaonekana hivyo kutokana na hali ya ukata unaoikabili Yanga na kupelekea Kusajiri wachezaji wa viwango vya chini Kama akina Mnamibia.
Nasema hivyo Kama Mwanamichezo, Ila nikizungumza Kama mshabiki wa Simba nasema hivi.
"Mfukuzeni Zahera Haraka Sana"
Mchukueni nyie mkkia wakubwa nyie!Hakuna kocha afrika hii kama zahera kwa nn aondoke
Zahera alijitolea na kufanya kazi bila mshahara mwaka jana, Paulsen ataweza? Pili, Yanga Yanga wenyewe wameshamlipa Zahera malimbikizo ya mishahara yake?
Vv
Hapa ndipo mashabiki wengi wa soka wa Tanzania wanapokosea. Timu hizi zinatakiwa zitengenezwe kisasa kushindana kimataifa na sio kuanza kufikiria mambo ya kizamani sijui Simba kamfunga Yanga au Yanga kamfunga Simba basi. Jiulize kidogo tu Simba waliingiza kiasi gani mwaka jana baada ya kuingia tu robo fainali kwenye CAF champions ligi? Je iwapo wangeingia nusu fainali au hata fainali wangepata kiasi gani? Ni wakati sasa wa Tanzania tujue kuwa timu ya ushindani intengenezwa si chini ya miaka mitatu.Miaka miwili mitatu tutatembea vipi mtaani mbele ya bodaboda fc
We mechi za Yanga sijui hata kama unaangaliaga naona unaandika maneno mengiii.Hapa ndipo mashabiki wengi wa soka wa Tanzania wanapokosea. Timu hizi zinatakiwa zitengenezwe kisasa kushindana kimataifa na sio kuanza kufikiria mambo ya kizamani sijui Simba kamfunga Yanga au Yanga kamfunga Simba basi. Jiulize kidogo tu Simba waliingiza kiasi gani mwaka jana baada ya kuingia tu robo fainali kwenye CAF champions ligi? Je iwapo wangeingia nusu fainali au hata fainali wangepata kiasi gani? Ni wakati sasa wa Tanzania tujue kuwa timu ya ushindani intengenezwa si chini ya miaka mitatu.
Hebu tupe mafanikio ya Zahera katika club level unayoyajua tuone uzuri wake unaouongelea hapa?We mdhihaki tu, lakini Ukweli unabaki pale pale Kwamba Yanga kwa Sasa inamuhitaji Kocha Zahera kuliko kinyume chake.
Zahera ni Kocha mzuri sana kuwahi kutokea kuifundisha Yanga.
Kocha Pruijin alikuwa anabebwa na Pesa ya Manji tu Kama anavyobebwa Kocha wa Simba Aussein kwa Pesa Ya MO.
Simba tungekuwa na Kocha Kama Zahera, Yaani hiki kikosi cha Simba kingekuwa chini ya Fundi Zahera, Simba isinge gusika na watu Kama U.D.Songo.
Zahera anaonekana hivyo kutokana na hali ya ukata unaoikabili Yanga na kupelekea Kusajiri wachezaji wa viwango vya chini Kama akina Mnamibia.
Nasema hivyo Kama Mwanamichezo, Ila nikizungumza Kama mshabiki wa Simba nasema hivi.
"Mfukuzeni Zahera Haraka Sana"
Hiyo development imefanywa na timu gani ya Tanzania Mwaka huu ?Hebu tupe mafanikio ya Zahera katika club level unayoyajua tuone uzuri wake unaouongelea hapa?
Zahera alikiri mwenyewe wachezaji wote alowataka amewapata sasa mbona unatupa taarifa tofauti hapa?
Kila mechi ya Yanga msimu huu wakicheza huoni development yoyote ya timu zaidi ya kubua na kufunga magoli ya kubahatisha .
Huo sasa unaoleta ni utabiri ambao unaweza usitokee pia.Hiyo development imefanywa na timu gani ya Tanzania Mwaka huu ?
Mwaka huu timu iliyofanikiwa Ni Yanga FC.
Imecheza hatua ya pili ya Club Bingwa Afrika.
Imecheza pia Mashindano ya Washindi Afrika na Pyramids.
Kati ya timu nne zilizoingia CAF championship Yanga ndio imecheza hatua ya pili ya mashindano hayo.
Turudi kwenye Ligi ya TPL Yanga imefungwa mechi moja, Simba pia Mechi moja.
Hakuna timu ambayo haijafungwa.
Subiri matokeo ya Yanga baada ya kuondoka Zahera, utaona tofauti kubwa.