Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 731
- 2,707
Inasemwa, ndiye Askofu Mtanzania pekee aliyepata kuhudumu kama mmoja wa wasaidizi wa karibu kabisa na baba Watakatifu watatu! Yaani, tunaweza kusema, alikuwa ndani ya Baraza la Mawaziri la Baba Watakatifu hao watatu. Alianza na Paul wa 2 hadi wa sasa huko Vatican-Roma.
Je, kurejeshwa kwake Tanzania, ni maandalizi ya yeye kuandaliwa aje awe Kardinali mtarajiwa?! Jibu ni ndiyo, kwa sababu, ndiye Askofu mwenye sifa za ziada kuliko wote kwenye Kanisa la Roma hapa Tanzania.
NB: Askofu Protase, ni shabiki wa Yanga.