MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,923
- 40,246
Wananchi wote wanaoshabikia YangaSo jk nae ana akili nyingi?
Wananchi wote wanaoshabikia YangaSo jk nae ana akili nyingi?
Ilikuwa ni utashi tu wa Papa ambao uliopelekea Laurian Rugambwa na Polycarp Pengo kuchaguliwa kuhudumu katika nafasi hii ya ushauri ndani ya Kanisa Katoliki. Hakuna kigezo chochote cha kipekee kinachotumika katika kumchagua kadinali ama zaidi ya mmoja kuhudumu katika nchi moja.View attachment 2666741
Anaitwa Protase Rugambwa ni Askofu Mkuu Mwandamizi mteule ambaye mwishoni wa mwezi huu ataanza kuhudumu kwenye Kituo chake kipya cha kazi Jimbo Kuu Katoliki-Tabora.
Inasemwa ndiye Askofu Mtanzania pekee aliyepata kuhudumu kama mmoja wa wasaidizi wa karibu kabisa na Papa Watakatifu watatu (yaani tunaweza kusema ni sawa na kwamba alikuwa ndani ya baraza la mawaziri) alianza na Paul wa 2 hadi wa sasa huko Vatican-Roma.
Je, kurejeshwa kwake Tanzania ni maandalizi ya yeye kuandaliwa aje awe Kardinali mtarajiwa?!
Kidumu Chama cha Mapinduzi!
NB: Askofu Protase ni shabiki wa Yanga.
Kama anaouzoefu mkubwa wa kuhudumu na Mapapa wote hao kiasi hicho, basi ilitakiwa abakie hukohuko Vatican. Labda wameogopa asije akawa Papa Rugambwa wa kwanza.
Sio majina kufanana tu mkuu?Pamoja na uzoefu wake lakini nadhani hatoweza kuwa Kardinali kwa sababu ofisi ya Vatikan inaweza kuogopa kuonyesha hali ya upendeleo kwenye ukoo wa Rugambwa, kumbuka Kardinali wa kwanza Tanzania alikuwa ni kwenye ukoo huo, Laurean Rugambwa.
Nina uhakika Jimbo kuu katoriki Tabora linaushawishi kuliko Majimbo makuu ya Mwanza, Arusha na Dodoma kulingana na historia yake.Sidhani kama kama anaweza kuwa kadinali, pia kadinali mara nyingi hutoka kwenye majimbo makuu yenye ushawishi hapa kwetu walao dar es laam ama mwanza Arusha Dodoma .
Upo sawa mkuu.Lakini pia kiti cha ukadnali hapa Tanzania sidhani kama tunaweza kupata tena hivi karibuni baada ya kadinali pengo.
Rev. Ruwai'chi siyo Kardinali bali ni Askofu Mkuu Mwandamizi wadhifa fanani na Rev. Protase Rugambwa.Nina uhakika Jimbo kuu katoriki Tabora linaushawishi kuliko Majimbo makuu ya Mwanza, Arusha na Dodoma kulingana na historia yake.
Upo sawa. Kwa miaka ya hivi karibuni hatutaweza kupata kadinali mpya kwasababu tunaye Ruwaichi ambaye hana miaka mingi tangu ateuliwe isipokuwa zitokee sababu nyinginezo.
Kulikua na Rugambwa askofu pia cardinal,huyu alishafariki kitambo na ndio huyu ambaye wengi tulikua tunamfahamu na kumsikia.Hivi kumbe Askofu Rugambwa yupo! Mimi nimekua nikisikia jina tu nikidhani alishafariki zamani, kumbe mwamba alikuwa zake mambele.
Halafu Askofu Paul Ruzoka kahamia wapi?
Ruwaich kawa lini kadinali mkuu?Nina uhakika Jimbo kuu katoriki Tabora linaushawishi kuliko Majimbo makuu ya Mwanza, Arusha na Dodoma kulingana na historia yake.
Upo sawa. Kwa miaka ya hivi karibuni hatutaweza kupata kadinali mpya kwasababu tunaye Ruwaichi ambaye hana miaka mingi tangu ateuliwe isipokuwa zitokee sababu nyinginezo.
Rev. Ruwai'chi siyo Kardinali bali ni Askofu Mkuu Mwandamizi wadhifa fanani na Rev. Protase Rugambwa.
Kardinali pekee wa Kanisa Katoliki-Tanzania ni Rev. Kardinali Polycarp Pengo.
Dah! kweli nipo misinformed. Shukran kwa kunisahihisha wakuu.Ruwaich kawa lini kadinali mkuu?
No papa hawezi hamisha maaskofu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]ujue askofu ni cheo tuu cha kawaida.. Kardinali ndio papa anateuaNdugu, Tabora ni Jimbo Kuu lenye ufanano wa kila kitu na Majimbo Makuu uliyoyaainisha.
Vilevile, Papa Mtakatifu anao uwezo wa kuteua Askofu yeyote awaye kwa nafasi tajwa hapo juu.
Nyongeza:
Papa anao uwezo wa kufanya mabadiriko ya Utume wa Askofu fulani akapelekwa eneo B na yule wa eneo B akapelekwa A.
Akili nyingi Tanzania...!!? Wakati hatuwezi hata kuendesha bandari zetu wenyewe.Yanga ndiyo timu ya wananchi wenye akili nyingi
Shabiki wa Yanga!!!!?? Acha unazi kwenye ImaniView attachment 2666741
Anaitwa Protase Rugambwa ni Askofu Mkuu Mwandamizi mteule ambaye mwishoni wa mwezi huu ataanza kuhudumu kwenye Kituo chake kipya cha kazi Jimbo Kuu Katoliki-Tabora.
Inasemwa ndiye Askofu Mtanzania pekee aliyepata kuhudumu kama mmoja wa wasaidizi wa karibu kabisa na Papa Watakatifu watatu (yaani tunaweza kusema ni sawa na kwamba alikuwa ndani ya baraza la mawaziri) alianza na Paul wa 2 hadi wa sasa huko Vatican-Roma.
Je, kurejeshwa kwake Tanzania ni maandalizi ya yeye kuandaliwa aje awe Kardinali mtarajiwa?!
NB: Askofu Protase ni shabiki wa Yanga.
Vitu Kama Hivi vinakera sanaView attachment 2666741

Why??Sidhani kama kama anaweza kuwa kadinali, pia kadinali mara nyingi hutoka kwenye majimbo makuu yenye ushawishi hapa kwetu walao dar es laam ama mwanza Arusha Dodoma .
Lakini pia kiti cha ukadnali hapa Tanzania sidhani kama tunaweza kupata tena hivi karibuni baada ya kadinali pengo.
Hana undugu na Cardinal Laurian RugambwaUsichanganye na Kardinali wa kwanza Rugambwa rip na huyu, ni majina tuu.
Hata sitofahamu ya sasa kwenye Taifa huenda ikawa ni miongoni mwa Sababu za yeye kurejeshwaKurejeshwa nyumbani kunaweza kuwa na tafsiri nyingine pia. Let's wait and see.
View attachment 2666741