Black Mirror
JF-Expert Member
- Oct 17, 2019
- 973
- 1,274
Tusaidie tofauti ya papa na baba !Mwandishi wewe ni mweupe hujui chochote kuhusu mambo ya kanisa katoliki.
Uliponiacha hoi ni hapo eti papa mtakatifu badala ya baba mtakatifu.
Tusaidie tofauti ya papa na baba !Mwandishi wewe ni mweupe hujui chochote kuhusu mambo ya kanisa katoliki.
Uliponiacha hoi ni hapo eti papa mtakatifu badala ya baba mtakatifu.
Unahoja sasa kama Paul Ruzoka alistaafu ndio huyu wakamuhamishia Tabora kutoka kigoma, unabisha nini?Acha uongo
Sina taarifa kuhusu hili boss.Halaf it seems Kardinal aliyekuepo kabla ya Pengo naye alikua somebody Rugambwa, wana uhusiano wowote na huyu?
It is true...Sina taarifa kuhusu hili boss.
Angalia post uliyo-quote na kujibu "kastaafu" halafu urudi tena.Unahoja sasa kama Paul Ruzoka alistaafu ndio huyu wakamuhamishia Tabora kutoka kigoma, unabisha nini?
Eti jasusi sori za ghahawaHuyu jamaa,kavuma sana.Nimelisikia jina la Rugambwa miaka mingi,kumbe ndiyo huyu,mbona anaonekana ni badobado sana?
Anyway,hawa ndiyo majasusi wabobezi,wanaijua dunia nje ndani.
Hongera sana BabaAnaitwa Protase Rugambwa, ni Askofu Mkuu Mwandamizi mteule. Mwishoni wa mwezi huu, ataanza kuhudumu kwenye Kituo chake kipya cha kazi Jimbo Kuu Katoliki-Tabora.
Inasemwa, ndiye Askofu Mtanzania pekee aliyepata kuhudumu kama mmoja wa wasaidizi wa karibu kabisa na baba Watakatifu watatu! Yaani, tunaweza kusema, alikuwa ndani ya Baraza la Mawaziri la Baba Watakatifu hao watatu. Alianza na Paul wa 2 hadi wa sasa huko Vatican-Roma.
Je, kurejeshwa kwake Tanzania, ni maandalizi ya yeye kuandaliwa aje awe Kardinali mtarajiwa?! Jibu ni ndiyo, kwa sababu, ndiye Askofu mwenye sifa za ziada kuliko wote kwenye Kanisa la Roma hapa Tanzania.
NB: Askofu Protase, ni shabiki wa Yanga.