Je, Protase Rugambwa ndiye Kardinali ajaye Tanzania?

Je, Protase Rugambwa ndiye Kardinali ajaye Tanzania?

Ingawa kadinali anaweza kutokana na maaskofu mapadre na haya waumini , lakini sio kwa wakati huu, sio kila askofu anaweza kuwa kadinali, juwa makadinali nafasi zao ni chache sana kwa hiyo sio rahisi mtu yoyote anaweza kupata nafasi hiyo, japo inaweza kuwa kinyume chake.
Naona mshauri wa pope ulikuwa unamwaga nondo kali sana. Yani we jamaa bwana😀😀😂
 
Sidhani kama kama anaweza kuwa kadinali, pia kadinali mara nyingi hutoka kwenye majimbo makuu yenye ushawishi hapa kwetu walao dar es laam ama mwanza Arusha Dodoma .
Lakini pia kiti cha ukadnali hapa Tanzania sidhani kama tunaweza kupata tena hivi karibuni baada ya kadinali pengo.
Una LA kuwaambia watanzania kwa sasa ndugu pinga pinga wa kudhani sehemu yenye ushawishi ni daslama pekee?

Jf ni bahari. Usijifanye mjuaji.
 
Pamoja na uzoefu wake lakini nadhani hatoweza kuwa Kardinali kwa sababu ofisi ya Vatikan inaweza kuogopa kuonyesha hali ya upendeleo kwenye ukoo wa Rugambwa, kumbuka Kardinali wa kwanza Tanzania alikuwa ni kwenye ukoo huo, Laurean Rugambwa.
Hahaaa....wabongo kila kitu ni wachambuzi.
 
Anaitwa Protase Rugambwa, ni Askofu Mkuu Mwandamizi mteule. Mwishoni wa mwezi huu, ataanza kuhudumu kwenye Kituo chake kipya cha kazi Jimbo Kuu Katoliki-Tabora.

Inasemwa, ndiye Askofu Mtanzania pekee aliyepata kuhudumu kama mmoja wa wasaidizi wa karibu kabisa na baba Watakatifu watatu! Yaani, tunaweza kusema, alikuwa ndani ya Baraza la Mawaziri la Baba Watakatifu hao watatu. Alianza na Paul wa 2 hadi wa sasa huko Vatican-Roma.

Je, kurejeshwa kwake Tanzania, ni maandalizi ya yeye kuandaliwa aje awe Kardinali mtarajiwa?! Jibu ni ndiyo, kwa sababu, ndiye Askofu mwenye sifa za ziada kuliko wote kwenye Kanisa la Roma hapa Tanzania.

NB: Askofu Protase, ni shabiki wa Yanga.
Umenikera tu ulipoingiza Yanga.Umeanza vizuri lkn umeboronga kwenye kumalizia.Sijapenda kwakweli.
 
Sidhani kama kama anaweza kuwa kadinali, pia kadinali mara nyingi hutoka kwenye majimbo makuu yenye ushawishi hapa kwetu walao dar es laam ama mwanza Arusha Dodoma .
Lakini pia kiti cha ukadnali hapa Tanzania sidhani kama tunaweza kupata tena hivi karibuni baada ya kadinali pengo.
Haya amepata sasa U Kardinali.
 
Una LA kuwaambia watanzania kwa sasa ndugu pinga pinga wa kudhani sehemu yenye ushawishi ni daslama pekee?

Jf ni bahari. Usijifanye mjuaji.
Halaf it seems Kardinal aliyekuepo kabla ya Pengo naye alikua somebody Rugambwa, wana uhusiano wowote na huyu?
 
Na wewe mwanawane, kwani hujui kuwa Kadinali Pengo alitokea Sumbawanga ?

Je hujui Kadinali Rugambwa ambaye alikuwa Kadinali kabla ya Pengo alitokea Bukoba ?

Je, hujui hata Bwana Yesu alikuwa mtoto wa Seremala?

Mambo makubwa yanatokea sehemu dhaifu
Hapana Pengo na Rugambwa wote walitokea Jimbo kuu la dar... ila walikuwa wazaliwa wa hayo maeneo..
 
Ebu vuta kumbukumbu zako kuhusu Jimbo Kuu la Tabora...Uelewe seminari ya Kipalapala ndiyo imetoa mapadre wengi sana Tanzania, so ukisema umashuhuri unamaanisha nini na kivipi?...Wakatoliki ni institution zaidi kuliko imani...O think something is saidi here that we (commoners) cannot perceive...Am watching!
Kuna thread ulisema we muislam...


Leo wewe mkatoliki kumbe
 
Anaitwa Protase Rugambwa, ni Askofu Mkuu Mwandamizi mteule. Mwishoni wa mwezi huu, ataanza kuhudumu kwenye Kituo chake kipya cha kazi Jimbo Kuu Katoliki-Tabora.

Inasemwa, ndiye Askofu Mtanzania pekee aliyepata kuhudumu kama mmoja wa wasaidizi wa karibu kabisa na baba Watakatifu watatu! Yaani, tunaweza kusema, alikuwa ndani ya Baraza la Mawaziri la Baba Watakatifu hao watatu. Alianza na Paul wa 2 hadi wa sasa huko Vatican-Roma.

Je, kurejeshwa kwake Tanzania, ni maandalizi ya yeye kuandaliwa aje awe Kardinali mtarajiwa?! Jibu ni ndiyo, kwa sababu, ndiye Askofu mwenye sifa za ziada kuliko wote kwenye Kanisa la Roma hapa Tanzania.

NB: Askofu Protase, ni shabiki wa Yanga.
Tayari amekwisha teuliwa kuwa Kardinali. Inamaanisha kuwa Tanazania sasa tuna Makardinali wawili: Yeye na Kardinali Pengo. Hakuteuliwa kumrithi Pengo isipokuwa anamrithi Askofu Mkuu Paulo Ruzoka wa Tabora. Atakuwa na vyeo viwili kwa wakati mmoja: Kardinali na Askofu Mkuu wa Tabora kama vile Papa huwa na cheo hicho cha Upapa pamoja na kuwa Askofu Mkuu wa Roma. Makardinali hawana jimbo wanalolitawa. Huripoti moja kwa moja Roma na si kila nchi lazima iwe na Kardinali ambapo lazima kila jimbo liwe na Askofu. Hata hivyo kuna majimbo kadhaa ambayo hayawezi kujitosheleza kifedha. Hayo huiwa Vicariate na yako chini ya Roma moja kwa moja. Tanzania hatuna vicariate.
 
Kuna watu Wana Maono ya kuona mbali sana!
FB_IMG_1689056743458.jpg
 
Anaitwa Protase Rugambwa, ni Askofu Mkuu Mwandamizi mteule. Mwishoni wa mwezi huu, ataanza kuhudumu kwenye Kituo chake kipya cha kazi Jimbo Kuu Katoliki-Tabora.

Inasemwa, ndiye Askofu Mtanzania pekee aliyepata kuhudumu kama mmoja wa wasaidizi wa karibu kabisa na baba Watakatifu watatu! Yaani, tunaweza kusema, alikuwa ndani ya Baraza la Mawaziri la Baba Watakatifu hao watatu. Alianza na Paul wa 2 hadi wa sasa huko Vatican-Roma.

Je, kurejeshwa kwake Tanzania, ni maandalizi ya yeye kuandaliwa aje awe Kardinali mtarajiwa?! Jibu ni ndiyo, kwa sababu, ndiye Askofu mwenye sifa za ziada kuliko wote kwenye Kanisa la Roma hapa Tanzania.

NB: Askofu Protase, ni shabiki wa Yanga.
Protase Rugambwa (born 31 May 1960) is a Tanzanian prelate of the Catholic Church who has been named archbishop coadjutor of the Archdiocese of Tabora. He was a secretary of the Congregation for the Evangelization of Peoples from November 2017 to April 2023. He previously served as that congregation's adjunct secretary and president of the Pontifical Mission Societies from 2012 to 2017.

Pope Francis plans to make him a cardinal at a consistory scheduled for 30 September 2023.
Biography

Rugambwa was born in 1960 at Bunena, in the diocese of Bukoba. He had an elder brother, Paulo Kishumba (1957-2021).[1] After his primary and secondary schools in various seminaries and Minor Katoke Itaga, Rugambwa studied philosophy at Kibosho Senior Seminary and theology at St. Charles Lwanga Segerea Senior Seminary.

He was ordained priest on 2 September 1990 in Dar-es-Salaam by John Paul II during his pastoral visit to Tanzania, and incardiated the diocese of Rulenge.

After ordination he had the following activities:

1990-1991: Parish Vicar in the parish of Mabira
1991-1994: Teacher in the Minor Seminary of Katoke, in charge of the Liturgy and Diocesan Chaplain of the hospital Biharamulo
1994-1998: Studies for a doctorate in pastoral theology at the Pontifical Lateran University in Rome (promotion)
1998-1999: Trainer of the spiritual year's seminarians, Director of Vocations in the Diocese of Rulenge, Executive Secretary of the Department of Pastoral Care
2000-2002: Vicar General of the diocese of Rulenge and Moderator of Personnel
2002-2008: Official of the Congregation for the Evangelization of Peoples.

On 18 January 2008, Pope Benedict XVI appointed Rugambwa Bishop of the Diocese of Kigoma, Tanzania.[2] He received his episcopal consecration on 13 April.

On 26 June 2012, Benedict appointed him adjunct secretary of the Congregation for the Evangelization of Peoples and concurrently president of the Pontifical Mission Societies, replacing Archbishop Piergiuseppe Vacchelli, who had reached the retirement age. He was at the same time appointed Archbishop ad personam.[3]

On 9 November 2017 Pope Francis promoted him to secretary of the Congregation.[4]

On 13 April 2023, Pope Francis named him archbishop coadjutor of Tabora.[5]

On 9 July 2023, Pope Francis announced he plans to make him a cardinal at a consistory scheduled for 30 September.[6]

Source: Protase Rugambwa - Wikipedia

Other related information


 
Back
Top Bottom