Je, Protase Rugambwa ndiye Kardinali ajaye Tanzania?

Je, Protase Rugambwa ndiye Kardinali ajaye Tanzania?

Hatimaye kuna kila dalili Tanzania itapata Kaldinali mpya kwa Africa watarajiwa ni Protase Rugambwa kutoka Tanzania na Stephen Brislin kutoka South Africa na mwingine South Sudan.

Hiki kichwa atahudumu kama Kaldinali akichaguliwa kutokea Tabora? Au ataletwa Dar?
 
Kupata kiti cha ukadnali sio nyepesi sana kwa nchi zetu hizi kwa sababu kuna limit fulani hivi ya ukadnali, ijulikane kadinali yoyote huwa na kanisa lake pale Roma ajali hudumu kama paroko, kwa hiyo hayo makanisa au parokia za roma ziki jaa nafasi mpya za ukadnali ni nadra sana
Sio lazima hilo kanisa analohudumu liwe hai, mfano ni parokia anayohudumu Mhashamu Kardinali Polycarp ni parokia asiyokua hai.

Kwahiyo papa anaweza kumpangia mtu yeyote kuwa kardinali na kumpatia parokia yoyote sio lazima iwe kati ya parokia zilizopo hai kwasasa.
 
kwa hiyo mkapuchini Rwaichi sio bosi tena naomba nieleweshwe vizuri
Hajawahi kuwa Boss wa Askofu mwingine yeyote. Kila Askofu wa jimbo Katoliki ni mkuu na mwenye mamlaka kamili kwa kanisa mahalia, hakuna Askofu mwingine anaeweza kufanya maamuzi ndani ya eneo lake la kitume.

Baraza la maaskofu ni chombo kinachofanya kazi ya kusaidia katika kutoa miongozo mbalimbali ya kikanisa na kuhakikisha kuna umoja na ushirikiano, lakini pia kinafanya kazi kwenye mahitaji ya kisiasa na kijamii, kiongozi wake kwasasa ni Askofu Nyaisonga na wala sio Ruwaichi.
 
Sidhani kama kama anaweza kuwa kadinali, pia kadinali mara nyingi hutoka kwenye majimbo makuu yenye ushawishi hapa kwetu walao dar es laam ama mwanza Arusha Dodoma .
Lakini pia kiti cha ukadnali hapa Tanzania sidhani kama tunaweza kupata tena hivi karibuni baada ya kadinali pengo.
Kumbe hukuwa unamtaka ateuliwe ndo maana hujapokea kwa mikono miwili. Mungu kampa kuhani wake sasa
 
Sidhani kama kama anaweza kuwa kadinali, pia kadinali mara nyingi hutoka kwenye majimbo makuu yenye ushawishi hapa kwetu walao dar es laam ama mwanza Arusha Dodoma .
Lakini pia kiti cha ukadnali hapa Tanzania sidhani kama tunaweza kupata tena hivi karibuni baada ya kadinali pengo.
Mkuu naimani taarifa umeipata, never say never. Jamaa kadinali
 
Back
Top Bottom