Je, Protase Rugambwa ndiye Kardinali ajaye Tanzania?

Je, Protase Rugambwa ndiye Kardinali ajaye Tanzania?

Kutoa Maaskofu wa3 ndio kuwa Blessed mkuu au unamaana nyingine
Kagera imetoa maaskofu wazawa zaidi ya 20...wakiwemo maaskofu wakuu na Kardinali mmoja...

Kagera imetoa mapadre wa kwanza Tanzania
Kagera imetoa Askofu wa kwanza mtanzania
Kagera imetoa kardinali wa kwanza mweusi
Kagera imetoa askofu balozi wa kwanza mtanzania...

Bila kusahau rundo kubwa la mapadre toka mwaka 1917...
Bila kusahau majimbo makubwa matatu ya kiaskofu...


Kwa nini kagera isiwe blessed Kiimani...
 
Sidhani kama kama anaweza kuwa kadinali, pia kadinali mara nyingi hutoka kwenye majimbo makuu yenye ushawishi hapa kwetu walao dar es laam ama mwanza Arusha Dodoma .
Lakini pia kiti cha ukadnali hapa Tanzania sidhani kama tunaweza kupata tena hivi karibuni baada ya kadinali pengo.
Huu mtazamo wako siuamini hata kidogo. Maana kabla ya Muadhama Kardinali Polycarp Pengo, tayari alikuwepo Muadhama Kardinali Laurean Rugambwa. Na sidhani kama alitokea kwenye hayo Majimbo uliyoyataja.

All in all, namuombea heri Askofu Mwandamizi Protase Rugambwa, katika safari yake ya kumtumikia Mwenyezi Mungu, na pia Kanisa lake Takatifu Katoliki la Mitume.
 
Kwanini?
  • Hawezi kuwa kadinali? Kwani hawezi kuhamishwa kwenye majimbo yenye ushawishi?
  • Kwanini tusipate tena kiti cha ukadinali?
Kupata kiti cha ukadnali sio nyepesi sana kwa nchi zetu hizi kwa sababu kuna limit fulani hivi ya ukadnali, ijulikane kadinali yoyote huwa na kanisa lake pale Roma ajali hudumu kama paroko, kwa hiyo hayo makanisa au parokia za roma ziki jaa nafasi mpya za ukadnali ni nadra sana
 
Hivi kila nchi inakuwaga na Kadinali wake? Au ni kwa ukanda yaani regions say EAC region, Kadinali moja?
Hapana sio kila nchi inakua na kardinali kwasababu cheo cha kardinali sio chauongozi wa nchi katika kanisa.
Kardinali ni mshauri wa papa na anaingia kwenye Conclave ya kumchagua papa ikiwa hajawa na umri unaofika miaka 80.
Kuna nchi hazina makardinali na kuna nchi zinao zaidi ya mmoja
 
Ebu vuta kumbukumbu zako kuhusu Jimbo Kuu la Tabora...Uelewe seminari ya Kipalapala ndiyo imetoa mapadre wengi sana Tanzania, so ukisema umashuhuri unamaanisha nini na kivipi?...Wakatoliki ni institution zaidi kuliko imani...O think something is saidi here that we (commoners) cannot perceive...Am watchi

Ebu vuta kumbukumbu zako kuhusu Jimbo Kuu la Tabora...Uelewe seminari ya Kipalapala ndiyo imetoa mapadre wengi sana Tanzania, so ukisema umashuhuri unamaanisha nini na kivipi?...Wakatoliki ni institution zaidi kuliko imani...O think something is saidi here that we (commoners) cannot perceive...Am watching!
Ushawishi nao una nafasi yake , htsks kule kenya nairobi ndio yenye askofu ambayo na kadinali japo nae ni mstaafu
 
Huyu jamaa,kavuma sana.Nimelisikia jina la Rugambwa miaka mingi,kumbe ndiyo huyu,mbona anaonekana ni badobado sana?
Anyway,hawa ndiyo majasusi wabobezi,wanaijua dunia nje ndani.
Huyu ni RUGAMBWA wa tatu kuwa ASKOFU.

huyo unayemuongelea alikuwa Kardinali RUGAMBWA mtangulizi wa Kardinali Pengo.
 
Hivi kumbe Askofu Rugambwa yupo! Mimi nimekua nikisikia jina tu nikidhani alishafariki zamani, kumbe mwamba alikuwa zake mambele.

Halafu Askofu Paul Ruzoka kahamia wapi?
Sio Huyu yule aliefariki ni KARDINALI RUGAMBWA mtangulizi wa Kardinali Pengo.

Aliefariki miaka mingi ya 90 huko.

Huyu ni another RUGAMBWA.

Kama sikosei kuna ASKOFU mwingine nae alikuwa anaitwa RUGAMBWA Ukimtoa Kardinali Na huyu.

So yawezekana akawa rugambwa watatu kuwa ASKOFU.

Ila Sina uhakika kama wako blood related.
 
Hapana sio kila nchi inakua na kardinali kwasababu cheo cha kardinali sio chauongozi wa nchi katika kanisa.
Kardinali ni mshauri wa papa na anaingia kwenye Conclave ya kumchagua papa ikiwa hajawa na umri unaofika miaka 80.
Kuna nchi hazina makardinali na kuna nchi zinao zaidi ya mmoja
Nimekuelewa vizuri sana. Ahsante sana
 
View attachment 2666741
Anaitwa Protase Rugambwa ni Askofu Mkuu Mwandamizi mteule ambaye mwishoni wa mwezi huu ataanza kuhudumu kwenye Kituo chake kipya cha kazi Jimbo Kuu Katoliki-Tabora.

Inasemwa ndiye Askofu Mtanzania pekee aliyepata kuhudumu kama mmoja wa wasaidizi wa karibu kabisa na Papa Watakatifu watatu (yaani tunaweza kusema ni sawa na kwamba alikuwa ndani ya baraza la mawaziri) alianza na Paul wa 2 hadi wa sasa huko Vatican-Roma.

Je, kurejeshwa kwake Tanzania ni maandalizi ya yeye kuandaliwa aje awe Kardinali mtarajiwa?!

NB: Askofu Protase ni shabiki wa Yanga.
Bala shaka huyu ni mtoto wa rugambwa alimpataje nawao hawaoi?au ni mtoto wa nduguye
 
Ndugu, Tabora ni Jimbo Kuu lenye ufanano wa kila kitu na Majimbo Makuu uliyoyaainisha.

Vilevile, Papa Mtakatifu anao uwezo wa kuteua Askofu yeyote awaye kwa nafasi tajwa hapo juu.

Nyongeza:

Papa anao uwezo wa kufanya mabadiriko ya Utume wa Askofu fulani akapelekwa eneo B na yule wa eneo B akapelekwa A.
Rugambwa alikuwa na mke?
 
Huyu jamaa,kavuma sana.Nimelisikia jina la Rugambwa miaka mingi,kumbe ndiyo huyu,mbona anaonekana ni badobado sana?
Anyway,hawa ndiyo majasusi wabobezi,wanaijua dunia nje ndani.
Inawezekana ulimsikia Rugambwa mwingine yaani kardinari Laurian Rugambwa aliyekuwa kardinari kabla ya Pengo.
 
Sio Huyu yule aliefariki ni KARDINALI RUGAMBWA mtangulizi wa Kardinali Pengo.

Aliefariki miaka mingi ya 90 huko.

Huyu ni another RUGAMBWA.

Kama sikosei kuna ASKOFU mwingine nae alikuwa anaitwa RUGAMBWA Ukimtoa Kardinali Na huyu.

So yawezekana akawa rugambwa watatu kuwa ASKOFU.

Ila Sina uhakika kama wako blood related.
Hapo nimeelewa sasa.

Asante.
 
Kagera imetoa maaskofu wazawa zaidi ya 20...wakiwemo maaskofu wakuu na Kardinali mmoja...

Kagera imetoa mapadre wa kwanza Tanzania
Kagera imetoa Askofu wa kwanza mtanzania
Kagera imetoa kardinali wa kwanza mweusi
Kagera imetoa askofu balozi wa kwanza mtanzania...

Bila kusahau rundo kubwa la mapadre toka mwaka 1917...
Bila kusahau majimbo makubwa matatu ya kiaskofu...


Kwa nini kagera isiwe blessed Kiimani...
Na masikini kuliko zote.
 
Na masikini kuliko zote.
[emoji23][emoji23] endelea kuamini takwimu zako za serikali yenye watu wasioweza kuongoza chochoto na hatimaye kuwapa waarabu wawasaidie....


Meanwhile vijiji vya kagera sasa ( mkoa maskini zaidi kadri ya serikali yenu ya CCM)
FyhB1PYaYAA1-MK.jpg
images%20(9).jpg
images%20(10).jpg
 
Back
Top Bottom