Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 731
- 2,707
- Thread starter
- #121
MTAZAMO nimeona mkuu.Asante CCM nasikia Pope Francis ameshapendekeza majina na Rugambwa limo.
Kwa namna mwamba alivyo hakika ilikuwa vigumu mno kuikosa hiyo nafasi!
MTAZAMO nimeona mkuu.Asante CCM nasikia Pope Francis ameshapendekeza majina na Rugambwa limo.
Majina yanafananaHivi kumbe Askofu Rugambwa yupo! Mimi nimekua nikisikia jina tu nikidhani alishafariki zamani, kumbe mwamba alikuwa zake mambele.
Halafu Askofu Paul Ruzoka kahamia wapi?
Kwema mkuu?Sidhani kama kama anaweza kuwa kadinali, pia kadinali mara nyingi hutoka kwenye majimbo makuu yenye ushawishi hapa kwetu walao dar es laam ama mwanza Arusha Dodoma .
Lakini pia kiti cha ukadnali hapa Tanzania sidhani kama tunaweza kupata tena hivi karibuni baada ya kadinali pengo.
Chuma kwelikweli kiimani.
Poleni mkuuYaani tumetoboka balaa na sherehe ya kusimika huyu mzee. Asimikwe michango ipungue
Hakika!Chuma kwelikweli kiimani.
MmhPamoja na uzoefu wake lakini nadhani hatoweza kuwa Kardinali kwa sababu ofisi ya Vatikan inaweza kuogopa kuonyesha hali ya upendeleo kwenye ukoo wa Rugambwa, kumbuka Kardinali wa kwanza Tanzania alikuwa ni kwenye ukoo huo, Laurean Rugambwa.
Ndo huyu aliejenga Rugambwa Sec Bukoba?View attachment 2666741
Anaitwa Protase Rugambwa, ni Askofu Mkuu Mwandamizi mteule. Mwishoni wa mwezi huu, ataanza kuhudumu kwenye Kituo chake kipya cha kazi Jimbo Kuu Katoliki-Tabora.
Inasemwa, ndiye Askofu Mtanzania pekee aliyepata kuhudumu kama mmoja wa wasaidizi wa karibu kabisa na baba Watakatifu watatu! Yaani, tunaweza kusema, alikuwa ndani ya Baraza la Mawaziri la Baba Watakatifu hao watatu. Alianza na Paul wa 2 hadi wa sasa huko Vatican-Roma.
Je, kurejeshwa kwake Tanzania, ni maandalizi ya yeye kuandaliwa aje awe Kardinali mtarajiwa?! Jibu ni ndiyo, kwa sababu ndiye Askofu mwenye sifa za ziada kuliko wote kwenye Kanisa la Roma hapa Tanzania.
NB: Askofu Protase, ni shabiki wa Yanga.
HapanaNdo huyu aliejenga Rugambwa Sec Bukoba?
Mkuu tayariSidhani kama kama anaweza kuwa kadinali, pia kadinali mara nyingi hutoka kwenye majimbo makuu yenye ushawishi hapa kwetu walao dar es laam ama mwanza Arusha Dodoma .
Lakini pia kiti cha ukadnali hapa Tanzania sidhani kama tunaweza kupata tena hivi karibuni baada ya kadinali pengo.
Chawa wa mama, halafu mchaga. disco.Niliwaza Ruwaichi.