Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 731
- 2,707
Born 31 May 1960.How old is this old man?
Kwa serikalini was supposed to retire 3yrs ago akiwa na nguvu zake. Kwenye dini ndio kwanza anaandaliwa.Born 31 May 1960.
Ndugu, Tabora ni Jimbo Kuu lenye ufanano wa kila kitu na Majimbo Makuu uliyoyaainisha.Sidhani kama kama anaweza kuwa kadinali, pia kadinali mara nyingi hutoka kwenye majimbo makuu yenye ushawishi hapa kwetu walao dar es laam ama mwanza Arusha Dodoma .
Lakini pia kiti cha ukadnali hapa Tanzania sidhani kama tunaweza kupata tena hivi karibuni baada ya kadinali pengo.
Kwa uzoefu wake wa corridor za kule Vatican na pamoja na ukaribu wake na hao baba Watakatifu hakika ndugu yetu Protase Rugambwa hiyo nafasi inamnyemelea na nahisi ndiyo maana karejeshwa nyumbani.Kwa serikalini was supposed to retire 3yrs ago akiwa na nguvu zake. Kwenye dini ndio kwanza anaandaliwa.
Kurejeshwa nyumbani kunaweza kuwa na tafsiri nyingine pia. Let's wait and see.Kwa uzoefu wake wa corridor za kule Vatican na pamoja na ukaribu wake na hao Papa Watakatifu hakika ndugu yetu Protase Rugambwa hiyo nafasi inamnyemelea na nahisi ndiyo maana karejeshwa nyumbani.
Ingawa kadinali anaweza kutokana na maaskofu mapadre na haya waumini , lakini sio kwa wakati huu, sio kila askofu anaweza kuwa kadinali, juwa makadinali nafasi zao ni chache sana kwa hiyo sio rahisi mtu yoyote anaweza kupata nafasi hiyo, japo inaweza kuwa kinyume chake.Ndugu, Tabora ni Jimbo Kuu lenye ufanano wa kila kitu na Majimbo Makuu uliyoyaainisha.
Vilevile, Papa Mtakatifu anao uwezo wa kuteua Askofu yeyote awaye kwa nafasi tajwa hapo juu.
Ndugu, Tabora ni Jimbo Kuu lenye ufanano wa kila kitu na Majimbo Makuu uliyoyaainisha.
Vilevile, Papa Mtakatifu anao uwezo wa kuteua Askofu yeyote awaye kwa nafasi tajwa hapo juu.
Tuombe miongoni mwao uliowataja neema ya uteule huo iwafikie.Ingawa kadinali anaweza kutokana na maaskofu mapadre na haya waumini , lakini sio kwa wakati huu, sio kila askofu anaweza kuwa kadinali, juwa makadinali nafasi zao ni chache sana kwa hiyo sio rahisi mtu yoyote anaweza kupata nafasi hiyo, japo inaweza kuwa kinyume chake.
Nadhani kamaanisha wote wana probability sawa ya kuteuliwa japo mwisho wa siku ni discretion ya mteuaji.Ingawa kadinali anaweza kutokana na maaskofu mapadre na haya waumini , lakini sio kwa wakati huu, sio kila askofu anaweza kuwa kadinali, juwa makadinali nafasi zao ni chache sana kwa hiyo sio rahisi mtu yoyote anaweza kupata nafasi hiyo, japo inaweza kuwa kinyume chake.
Kanisa katoliki sio kama CCM inarithishana mtoto wa kawawa mtoto wa Nyerere mtoto wa Magufuli n.kView attachment 2666741
Anaitwa Protase Rugambwa ni Askofu Mkuu Mwandamizi mteule ambaye mwishoni wa mwezi huu ataanza kuhudumu kwenye Kituo chake kipya cha kazi Jimbo Kuu Katoliki-Tabora.
Inasemwa ndiye Askofu Mtanzania pekee aliyepata kuhudumu kama mmoja wa wasaidizi wa karibu kabisa na Papa Watakatifu watatu (yaani tunaweza kusema ni sawa na kwamba alikuwa ndani ya baraza la mawaziri) alianza na Paul wa 2 hadi wa sasa huko Vatican-Roma.
Je, kurejeshwa kwake Tanzania ni maandalizi ya yeye kuandaliwa aje awe Kardinali mtarajiwa?!
Kidumu Chama cha Mapinduzi!
NB: Askofu Protase ni shabiki wa Yanga.
PapaKwani mkuu; kardinali ni nani?
Kidumu Chama cha Mapinduzi!Kanisa katoliki sio kama CCM inarithishana mtoto wa kawawa mtoto wa Nyerere mtoto wa Magufuli n.k
Kabsaa ila Mungu atafungua hili fumboSidhani kama kama anaweza kuwa kadinali, pia kadinali mara nyingi hutoka kwenye majimbo makuu yenye ushawishi hapa kwetu walao dar es laam ama mwanza Arusha Dodoma .
Lakini pia kiti cha ukadnali hapa Tanzania sidhani kama tunaweza kupata tena hivi karibuni baada ya kadinali pengo.