Je, Protase Rugambwa ndiye Kardinali ajaye Tanzania?

Sasa ccm inaingiaje hapo?
 
Hivi kumbe Askofu Rugambwa yupo! Mimi nimekua nikisikia jina tu nikidhani alishafariki zamani, kumbe mwamba alikuwa zake mambele.

Halafu Askofu Paul Ruzoka kahamia wapi?
 
Pamoja na uzoefu wake lakini nadhani hatoweza kuwa Kardinali kwa sababu ofisi ya Vatikan inaweza kuogopa kuonyesha hali ya upendeleo kwenye ukoo wa Rugambwa, kumbuka Kardinali wa kwanza Tanzania alikuwa ni kwenye ukoo huo, Laurean Rugambwa.
 
Kwanini?
  • Hawezi kuwa kadinali? Kwani hawezi kuhamishwa kwenye majimbo yenye ushawishi?
  • Kwanini tusipate tena kiti cha ukadinali?
 
Pamoja na uzoefu wake lakini nadhani hatoweza kuwa Kardinali kwa sababu ofisi ya Vatikan inaweza kuogopa kuonyesha hali ya upendeleo kwenye ukoo wa Rugambwa, kumbuka Kardinali wa kwanza Tanzania alikuwa ni kwenye ukoo huo, Laurean Rugambwa.
Wazungu hawana hizo mambo... Competency based... hiyo mambo wanayo waswahili
 
Hivi kumbe Askofu Rugambwa yupo! Mimi nimekua nikisikia jina tu nikidhani alishafariki zamani, kumbe mwamba alikuwa zake mambele.

Halafu Askofu Paul Ruzoka kahamia wapi?
Nahisi kaomba Kusataafu, Kama Alivyofanya Kardinali Pengo na yule wa Arusha Lebulu, Sijasikia wa Iringa maama nimeanza mfaham kitambo akiwa mbabu hadu leo anahudumu tu,

Rugambwa wakwanza asgafariki kitambo huyu ni mwingine tu mfanano wa majina
 

Hayo mengine mie sijui kabisa, mm naijua CCM tu.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi daima na milele, Amen..!!!
 
Hivi kumbe Askofu Rugambwa yupo! Mimi nimekua nikisikia jina tu nikidhani alishafariki zamani, kumbe mwamba alikuwa zake mambele.

Halafu Askofu Paul Ruzoka kahamia wapi?
Rev. Protase yungali ndiyo!

Kuhusu Rev. Paul nadhani anapumzika kwa sababu ya umri.
 
Kwangu Kardinali na naona kabisa ataupata kama tutapewa nafasi ni Jasusi Mwandamizi Kachero mbobevu Mwalimu wa Sheria za kanisa Askofu mkuu Yuda Thadei Ruwaichi kahudumu majimbo makuu ma3 Dodoma, Mwanza na Dar sasa
Kwa sifa stahiki na kama Itifaki itazingatiwa, hakika Rev. Protase yupo mbele kumzidi Rev. Thadei. NAMAANISHA!
 
Ebu vuta kumbukumbu zako kuhusu Jimbo Kuu la Tabora...Uelewe seminari ya Kipalapala ndiyo imetoa mapadre wengi sana Tanzania, so ukisema umashuhuri unamaanisha nini na kivipi?...Wakatoliki ni institution zaidi kuliko imani...I think something is said here that we (commoners) cannot perceive...Am watching!
 
Huyu jamaa,kavuma sana.Nimelisikia jina la Rugambwa miaka mingi,kumbe ndiyo huyu,mbona anaonekana ni badobado sana?
Anyway,hawa ndiyo majasusi wabobezi,wanaijua dunia nje ndani.
Nadhani unachanganya mambo kulikuwepo hayati Cardinal Rugambwa hivyo umelisikia hilo jina muda mrefu lakini sio huyu; inawezekana wana undugu na marehemu!
 
Huyu jamaa,kavuma sana.Nimelisikia jina la Rugambwa miaka mingi,kumbe ndiyo huyu,mbona anaonekana ni badobado sana?
Anyway,hawa ndiyo majasusi wabobezi,wanaijua dunia nje ndani.
Usichanganye na Kardinali wa kwanza Rugambwa rip na huyu, ni majina tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…