GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hivi Mchezaji aliyeko Uwanjani tena katika Mechi ngumu na anajitahidi akiona Kocha Mkuu kamuamsha Mchezaji wa namba anayocheza Yeye anaimarika Kiuchezaji au Kisaikolojia ndiyo anaathirika na kujikuta anaharibu kabisa na Kuigharimu Timu?
Maoni yenu yatasomwa nae Muunguja.
Watumbuliwaji watarajiwa washajaa taharuki. Inafaa mchakato ukamilishwe upesiHivi Mchezaji aliyeko Uwanjani tena katika Mechi ngumu na anajitahidi akiona Kocha Mkuu kamuamsha Mchezaji wa namba anayocheza Yeye anaimarika Kiuchezaji au Kisaikolojia ndiyo anaathirika na kujikuta anaharibu kabisa na Kuigharimu Timu?
Maoni yenu yatasomwa nae Muunguja.
Baada ya Kulijua ( Kuligundua ) hilo ulitakiwa uachane na Mimi GENTAMYCINE ili uwasome hao ( wale ) uwapendao au uendelee Kutwa ( 24/7 ) Kusoma kila ' Uzi ' wangu na Kunifuatilia hapa JamiiForums?Wewe jamaa sidhani Kama humo kwenye bichwa lako Kuna ubongo
Watumbuliwaji watarajiwa washajaa taharuki. Inafaa mchakato ukamilishwe upesi
Ni bora kuliko KayafaHamna Rais mule.She is inept leader ambae hajui anachofanya.
SHIDA NI KWAMBA HUJAWAHI KUONA NINI KITATOKEA KAMA HAO WATU HAWAPO NA HAKUNA WA KUFANYA WANACHOKIFANYA. Ni sawa na mtu anayekata BIMA ya gari halfu hajawahi pata ajali inayowahusisha watu wa BIMA. Huwa haoni sababu ya kulipia BIMAHaituhusu, ufanisi wao haujawahi kusaidia mtu! Hata wakikaa home Hakuna shida!
Kusema atatangaza timu ya DCs and DEDs ndiyo kuwa hajui anachofanya! Kayafa alikuwa akilala akiamka anatafuta wa kumfukuza kazi.Hamna Rais mule.She is inept leader ambae hajui anachofanya.
Ahahahaha we shemela weyeeeeeeee...!!!!Ni bora kuliko Kayafa
Na wa kumtishaKusema atatangaza timu ya DCs and DEDs ndiyo kuwa hajui anachofanya! Kayafa alikuwa akilala akiamka anatafuta wa kumfukuza kazi.
Hujui taratibu za fedha ya serikali weweee. Ebu nikuulize kwa mfano, DC anakwapua pesa gani pale ofisini kwake?Wanafanya upigaji wa kufa mtu wa dakika za majeruhi. Kulikuwa na umuhimu wowote wa kuliweka hili hadharani ili kuwaweka hao watendaji roho juu!? Mie naona kapotoka.
Siku ukija kuminywa ndeke zako kwa kumtukana Rais katika kila thread akili itakurudia sawaHamna Rais mule.She is inept leader ambae hajui anachofanya.
SHIDA NI KWAMBA HUJAWAHI KUONA NINI KITATOKEA KAMA HAO WATU HAWAPO NA HAKUNA WA KUFANYA WANACHOKIFANYA. Ni sawa na mtu anayekata BIMA ya gari halfu hajawahi pata ajali inayowahusisha watu wa BIMA. Huwa haoni sababu ya kulipia BIMA