Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Mama asitusahau sisi ambao hatuna vyama.Ila tuko pamoja naye.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu hawezi kuwa mbunifu akiwa hana uhakika na kesho yake! Ndiyo sababu wateuliwa wote huishia kumsifia na kumuabudu aliyewateua. Mtu ye yote aliyeteuliwa au anayefukuzia fursa hawezi kuongea sentensi mbili bila kulitaja jina la Samia, huu ni utumwa!Hivi Mchezaji aliyeko Uwanjani tena katika Mechi ngumu na anajitahidi akiona Kocha Mkuu kamuamsha Mchezaji wa namba anayocheza Yeye anaimarika Kiuchezaji au Kisaikolojia ndiyo anaathirika na kujikuta anaharibu kabisa na Kuigharimu Timu?
Maoni yenu yatasomwa nae Muunguja.
Kwani kuna ' Mtu ' ataishi Milele Mkuu?Aise! Ni kwamba upo tayari kuelea kwenye kiroba.
Hapana kuna watu tu wameondoka wameuacha lissu akidunda, hakika kifo ni fumbo kubwa mno hakuna ajuaye kesho yakeKwani kuna ' Mtu ' ataishi Milele Mkuu?