Je, Rais akisema 'Mkeka wa Ma DC ' upo tayari kutoka ' Ufanisi ' wa Kiutendaji kwa waliopo Ofisini unaongezeka au unashuka?

Mtu hawezi kuwa mbunifu akiwa hana uhakika na kesho yake! Ndiyo sababu wateuliwa wote huishia kumsifia na kumuabudu aliyewateua. Mtu ye yote aliyeteuliwa au anayefukuzia fursa hawezi kuongea sentensi mbili bila kulitaja jina la Samia, huu ni utumwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…