Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 13,481
- 26,392
JPM alishauriana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ileeeeeeeeeee baada tu ya ushindi wa kishindo, akingali bado PM, wakakubaliana wamchague Prof. Kabudi & Dr. Mpango. Case closed, Mr Trump. You fairly lost the election!Katiba ya nchi ibara ya 55 inataja mchakato wa uteuzi wa mawaziri na manaibu waziri. Ibara ya 55(1) inasema Rais atateua mawaziri baada ya kushauriana na Waziri mkuu. Tasfiri ya kingerereza limetumika neno "shall" kuonesha kwamba ni lazima Rais ashauriane na Waziri mkuu kuwapata mawaziri. Sio hiyari...
Wakati Matokeo yanatangazwa kua JPM kashinda hakukua na Waziri MkuuJPM alishauriana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ileeeeeeeeeee baada tu ya ushindi wa kishindo, akingali bado PM, wakakubaliana wamchague Prof. Kabudi & Dr. Mpango. Case closed, Mr Trump. You fairly lost the election!
Ndio maana huwa nakudharau sana kumbe nipo sahihi,Malisa hakutia nia wala kugombea popote pale.Malisa umekosa ubunge kupitia Chadema hasira zako unataka kuzimalizia kwa Magufuli pole
Malisa na Zitto wamezidi na propaganda zao z kisiasa. Hawajawashinda kwa hoja yoyote!Katiba ya nchi ibara ya 55 inataja mchakato wa uteuzi wa mawaziri na manaibu waziri. Ibara ya 55(1) inasema Rais atateua mawaziri baada ya kushauriana na Waziri mkuu. Tasfiri ya kingerereza limetumika neno "shall" kuonesha kwamba ni lazima Rais ashauriane na Waziri mkuu kuwapata mawaziri. Sio hiyari...
Jiulize huyo mwenye kitufe kwenye moyo anayeua watu kila kukicha kichwani chake kizima? Mzee wa watu analazimisha kuchekesha kwenye hotuba zake badala yake anajikuta anaongea mambo ya kutia aibu nchi! Siku yake yaja... amezoea kumdhihaki Mungu akifikiri Mungu anadhihakiwa!mhe zzmk ni kama chizi baada ya ile ajali,akili yake haiko sawa tena yani hana tofauti na lissu wa risasi za kiuno😂😂😂😂😂
Kiondolewe basi kama kina shida. Mbona wanakiacha?Hicho kipengele mkuu kina shida katika uharisia wake.
Hebu tuone mfumo serkali kuu ulivyo...
Wewe nae akili pumba,umeona mwigulu amejibu hoja ya mtoa post?Malisa umekosa ubunge kupitia Chadema hasira zako unataka kuzimalizia kwa Magufuli pole
Kuna vitu vingine tunatakiwa tuwe tunavitafakari kwa kina. Huyo Waziri Mkuu anateuliwa na huyo huyo mtu mmoja, ni dhahiri hakuna ushauri makini sana anaoweza kutoa.Hivi nani ana uhakika na ushahidi kwamba Rais hushauriana na waziri Mkuu kwenye hizi teuzi za Mawaziri?
Are you even serious?Wakati Matokeo yanatangazwa kua JPM kashinda hakukua na Waziri Mkuu
Umeandika vizuri sana, lakini mtu ambaye anaweza kutegua kitenda wili hicho ni Waziri mkuu.Katiba ya nchi ibara ya 55 inataja mchakato wa uteuzi wa mawaziri na manaibu waziri. Ibara ya 55(1) inasema Rais atateua mawaziri baada ya kushauriana na Waziri mkuu. Tasfiri ya kingerereza limetumika neno "shall" kuonesha kwamba ni lazima Rais ashauriane na Waziri mkuu kuwapata mawaziri. Sio hiyari...
We unafikiri akiulizwa atasemaje??Umeandika vizuri sana, lakini mtu ambaye anaweza kutegua kitenda wili hicho ni Waziri mkuu.
Yeye waziri Mkuu ndiye awezae kuthibitisha kama alishauliwa ama vipi? Rusha hili swali kwa PM amalize mchezo.
Mimi suwezi kumuwekea maneno mdogoni kwake, lakini yeye ndio ataondoa hiki kiwingu.We unafikiri akiulizwa atasemaje??
Nafikili ndiomaana huyo jamaa anamua kufanya anavyotaka.Kiondolewe basi kama kina shida. Mbona wanakiacha?
Aligombea Jimbo ganiMalisa umekosa ubunge kupitia Chadema hasira zako unataka kuzimalizia kwa Magufuli pole