Je, Rais amevunja Katiba Kumuapisha PM na Mawaziri wengine kwa Pamoja?

Hakuna kufuata sheria kinachofuatwa ni "fikra" na maamuzi ya "supreme leader".
 
Malisa umekosa ubunge kupitia Chadema hasira zako unataka kuzimalizia kwa Magufuli pole
Jitahidi kuwa unajibu hoja na hoja ni je, raisi kavunja katiba au la? Hayo ya kushindwa ubunge yanahusikaje na hoja iliyotolewa? Jaribu kuuruhusu ubongo wako ufanye kazi yake ipasavyo mkuu. Jiwe ni bingwa kweli kweli wa kuisigina katiba, yetu macho.
 
Nini tofauti ya MUST na SHALL?

Tatizo huwa mnakurupuka na ndio maana mara zote huangukia pua
Must na shall zinamaana moja, ila shall na will zina tofauti na mleta mada yuko sahihi kama alivyoandika. Shall ikitumika ni kwamba unalazimika (obligation) ya kufanya hicho kinachotakiwa, ila will ikitumika inakuwa ni hiyari yako na unaweza kutekeleza au usitekeleze kwa wakati ulioambiwa.
 
Nafikiri mpaka sasa umewaona kina mwigulu wengine humu...😊😊😊

Tofauti kati ya elimu na akili ni ipi??
 
Ukisoma vzr katiba ya JMT eneo la ofisi ya Rais kuna article inaeleza kwamba Rais wa JMT halazimishwi kupokea ushauri wowote. So hata asipokaa na PM bado aweza afanya uteuzi halali. The clause is not mandatory. Is descretion.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Kwa mujibu wa katiba Rais amekosea.pia sina hakika kama maguvamewahi kushauriana na pm juu ya uteuzi wa mawaziri.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hivi suala la katiba mpya mtaanza kulizungumzia Karibia na uchaguzi wa 2025?
Unategemea kuwa wakiiongelea ndipo itapatikana? La hasha, swala la katiba mpya ni mpaka pale wanannchi watakapoamua. Vinginevyo tutapoteza hela bure ikiwa mzee baba ataruhusu mchakato wa katiba mpya.
Nadhani unaelewa interests za wapiga pambio wake, watakula hela ya mchakato halafu wanarudisha mzigo worse kuliko uliopo.

Hakuna solution nyingine ya kuboresha demokrasia zaidi ya wannchi kuchukua hatua. Na si kitu rahisi, kwasababu ni swala la maslahi/ ajira za watu.
Hawawezi kuzisurender kirahisi.
 
Nini tofauti ya MUST na SHALL?

Tatizo huwa mnakurupuka na ndio maana mara zote huangukia pua
Kwenye Sheria/ katiba maneno yanayorumika ni May and shall hakuna neno must acha kutaka kupotosha hoja inayoongelewa ni ya kikatiba,
Ni hatari Sana kuwa na rais hasiyeheshimu katiba aliyoapa ataisimamia
 
Wewe kiazi kweli hivi unaelewa maana ya kushushwa bendera ya rais kabla ya kuapishwa na kupandishwa upya akishaapishwa?
 
Kwenye Sheria/ katiba maneno yanayorumika ni May and shall hakuna neno must acha kutaka kupotosha hoja inayoongelewa ni ya kikatiba,
Ni hatari Sana kuwa na rais hasiyeheshimu katiba aliyoapa ataisimamia
Huyu analeta kiengereza chake kisichokuwepo kwenye katiba
 
Katiba impe waziri mkuu majukumu makubwa ya kuunda na kuendesha serikali, ona sasa keshapigwa chenga kwenye kuteua mawaziri hao wawili..
 
Mhe ZZK ni kama chizi baada ya ile ajali,akili yake haiko sawa tena yani hana tofauti na Lissu wa risasi za kiunoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Duuh... mshambulie Tundu Lissu kwa hoja zake na matendo yake na si kwa ulemavu wake au ajali aliyopata.

Hivi mnakaribisha hoja za kutuhumiwa mabaya ..
 
Kwahiyo mkanganyiko uliouonyesha ndiyo jibu la swali la Malisa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…