Je, Rais amevunja Katiba Kumuapisha PM na Mawaziri wengine kwa Pamoja?

Kimsingi katiba haina maana yoyote kwa Magufuli.
 
Kwahiyo mkanganyiko uliouonyesha ndiyo jibu la swali la Malisa ?
Sahihi kabisa.
Mwambie kabisa.
Waziri mkuu hana kiti kwenye kabineti.

Hivyo,Rais na makamu wake wanassidiana mwanasheria atakua anawafafanulia sheria.
Kama watateua mtu sio sahihi.mwanasheria kazi yake atakua anawaambia huyo mnaemteua juzi kala rushwa kisheria hatufai nk.nk.
 
He has just demonstrated the fact he is a supreme leader. He is the constitution. Dare situation. Tushukuru ukondoo wetu.
 
Hivi ni 'kuvunja' au 'kukiuka'
 
Umenikumbusha kwamba walitoa boko pia kwenye ubunge was Kabudi na Bulembo wakawa wamezidi idadi ya( kati ya wabunge 10 wa kuteuliwa angalau wa5 wawe wanawake)

Mpaka watu waliposema ndo yule Albino akapewa ubalozi halafu eti akajiuzulu ubunge
 
Sasa na wewe una tofauti gani na Mwigulu? Una acha hoja unamshambulia mtoa hoja. Hizo Phd zenu hizo za maganda ya karanga ni shida. Bora sie akina Musukuma darasa la saba!
Malisa umekosa ubunge kupitia Chadema hasira zako unataka kuzimalizia kwa Magufuli pole
 
Jiwe hajawahipo kufuata katiba, Mwigulu anabembeleza ajira mkono mtupu haurambwi
 
Msiwe mnajadili mambo ya katiba kama hamna uelewa wowote wa katiba na sheria.

Ulichoandika pale juu hakuna mkanganyiko wowote zaidi ya hallucinations zako tu.
 
Msiwe mnajadili mambo ya katiba kama hamna uelewa wowote wa katiba na sheria.

Ulichoandika pale juu hakuna mkanganyiko wowote zaidi ya hallucinations zako tu.
Mbona umepanic.
Eleza kama mfumo haupo eleza hapa.
 
Umenikumbusha kwamba walitoa boko pia kwenye ubunge was Kabudi na Bulembo wakawa wamezidi idadi ya( kati ya wabunge 10 wa kuteuliwa angalau wa5 wawe wanawake)

Mpaka watu waliposema ndo yule Albino akapewa ubalozi halafu eti akajiuzulu ubunge
Sasa rais kakosa umakini kwenye kuhesabu tu, kwenye ma international espionage ataweza huko?
 
Umenikumbusha kwamba walitoa boko pia kwenye ubunge was Kabudi na Bulembo wakawa wamezidi idadi ya( kati ya wabunge 10 wa kuteuliwa angalau wa5 wawe wanawake)

Mpaka watu waliposema ndo yule Albino akapewa ubalozi halafu eti akajiuzulu ubunge
Tuna rais ambaye siyo tu anavunja katiba, bali pia hajali kwamba anavunja au havunji katiba.

Kuna mfalme mmoja wa Ufaransa akiitwa Louis XIV anadaiwa kuwa alisema 'L'etat c'est moi', yani, yeye ndiye nchi.

Inaonekana na sisi tuna Mfalme Magufuli anayejiona yuko juu ya katiba.
 
Malisa umekosa ubunge kupitia Chadema hasira zako unataka kuzimalizia kwa Magufuli pole
Hapa anajaribu kukumbusha tu baadhi ya mambo,ili kesho usirudi hapa na kusema huku fahamu ama hamkufahamu.Yayo mengine hayana uhusiano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…