Nisiku chache zimepita taifa letu limepoteza wanajeshi wake 15 na taarifa zisizo rasmi zinasema mzee wa Rwanda anahusika yani vikosi vyake vya waasi nchini ccongo ndio vimeleta majanga kwa askari wetu na hii sio mara ya kwanza na uwenda hii ndio ilikuwa bifu kubwa kati ya Rais mstaafu Kikwete na kagame... Japo mkuu wetu alitokea kuwa rafiki yake mkubwa ambaye uwenda mpaka sasa sisi raia hatujajuwa ni kwanin kama nikwaubaya ama wema ili tz tufanikishe mambo yetu yote wanayajuwa tiss.
Pia tumeona nguvu ya kagame kule east africa nadhani alichowafanya Tz na burundi wamebaki kulia lia wasijuwe nin kilitokea...
Je huu ndio mwanzo mpya wa rais wetu kuiona Rwanda ktk jicho ka tatu je nini mustakabali wa urafiki huu..