Kichaa Msafi
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 1,087
- 2,134
kwanza anashare kwenye mabasi ya trinity,hiyo ni kesi ya nyani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nisiku chache zimepita taifa letu limepoteza wanajeshi wake 15 na taarifa zisizo rasmi zinasema mzee wa Rwanda anahusika yani vikosi vyake vya waasi nchini ccongo ndio vimeleta majanga kwa askari wetu na hii sio mara ya kwanza na uwenda hii ndio ilikuwa bifu kubwa kati ya Rais mstaafu Kikwete na kagame... Japo mkuu wetu alitokea kuwa rafiki yake mkubwa ambaye uwenda mpaka sasa sisi raia hatujajuwa ni kwanin kama nikwaubaya ama wema ili tz tufanikishe mambo yetu yote wanayajuwa tiss.
Pia tumeona nguvu ya kagame kule east africa nadhani alichowafanya Tz na burundi wamebaki kulia lia wasijuwe nin kilitokea...
Je huu ndio mwanzo mpya wa rais wetu kuiona Rwanda ktk jicho ka tatu je nini mustakabali wa urafiki huu..
Mangi hangover ya Christmas imeisha?Boss TumainiEl Tatizo ni kuwa hizi tetesi, Jamhuri na Serikali na Taasisi ya Rais walitakiwa wazijibu, ila tetezi hizi za Usalama wa Nchi hazijibiwi, sijui ni kwa sababu ya Usalama au wanazipuuza???!!! Au wanazifanyia kazi kichini chini.
Pia kulikuwa na tetesi kuwa Rais analindwa na wanajeshi wa Rwanda, nazo hizi hazijajibiwa. Hakuna aliyekanusha au kutolea maelezo.
Pia kulikuwa na tetesi kuwa kuna Wanyarwanda wengi wameingia kule Usukumani kwa wingi wa njungu, na wengi wao washajifunza kuongea kisukuma na washajichanganya.
Pia pale Uhamiaji, kuna tetesi Boss wake ni Mnyarwanda, pia nazo hakuna maelezo. All in All, kuna tetesi nyingi sensitive zinazogusa Mstakabadhi wa Taifa hazijajibiwa.
My Take: Hizi si habari zangu, Sina 7m - 10m za kulipa, nimesema ni tetesi. Wananchi tunataka kujua usalama wa Mali na uhai wetu, ndio maana tunauliza na tunapenda kujua.
Vipi zile tetesi kwamba KAYANDABILA ni Mnyarwanda??Boss TumainiEl Tatizo ni kuwa hizi tetesi, Jamhuri na Serikali na Taasisi ya Rais walitakiwa wazijibu, ila tetezi hizi za Usalama wa Nchi hazijibiwi, sijui ni kwa sababu ya Usalama au wanazipuuza???!!! Au wanazifanyia kazi kichini chini.
Pia kulikuwa na tetesi kuwa Rais analindwa na wanajeshi wa Rwanda, nazo hizi hazijajibiwa. Hakuna aliyekanusha au kutolea maelezo.
Pia kulikuwa na tetesi kuwa kuna Wanyarwanda wengi wameingia kule Usukumani kwa wingi wa njungu, na wengi wao washajifunza kuongea kisukuma na washajichanganya.
Pia pale Uhamiaji, kuna tetesi Boss wake ni Mnyarwanda, pia nazo hakuna maelezo. All in All, kuna tetesi nyingi sensitive zinazogusa Mstakabadhi wa Taifa hazijajibiwa.
My Take: Hizi si habari zangu, Sina 7m - 10m za kulipa, nimesema ni tetesi. Wananchi tunataka kujua usalama wa Mali na uhai wetu, ndio maana tunauliza na tunapenda kujua.
Mangi hangover ya Christmas imeisha?
Magu akisha sifiwa tu ndio basi tena...Unaandika kabisa hayo.. aiseeeee
Yangekuwa ya kweli ungeandika hadi tarehe, muda, alijibuje n.k.
Kwahiyo unataka kutuambiaje?....huu uzi kuweni makin na mnachoandika mambo ya national security sio ya kuongelea kama story za vijiweni.
Sio tetesi...NDIO UHALISIA WENYEWE.Vipi zile tetesi kwamba KAYANDABILA ni Mnyarwanda??
Nisiku chache zimepita taifa letu limepoteza wanajeshi wake 15 na taarifa zisizo rasmi zinasema mzee wa Rwanda anahusika yani vikosi vyake vya waasi nchini ccongo ndio vimeleta majanga kwa askari wetu na hii sio mara ya kwanza na uwenda hii ndio ilikuwa bifu kubwa kati ya Rais mstaafu Kikwete na kagame... Japo mkuu wetu alitokea kuwa rafiki yake mkubwa ambaye uwenda mpaka sasa sisi raia hatujajuwa ni kwanin kama nikwaubaya ama wema ili tz tufanikishe mambo yetu yote wanayajuwa tiss.
Pia tumeona nguvu ya kagame kule east africa nadhani alichowafanya Tz na burundi wamebaki kulia lia wasijuwe nin kilitokea...
Je huu ndio mwanzo mpya wa rais wetu kuiona Rwanda ktk jicho ka tatu je nini mustakabali wa urafiki huu..
Fvck national securityhuu uzi kuweni makin na mnachoandika mambo ya national security sio ya kuongelea kama story za vijiweni.
Ni magufuliJiulizeni kwa nini Rwanda na Uganda hawakupiga kura ya kuunga mkono azimio la umoja wa mataifa juu ya Yerusalemu. Je, ni nani hasa anayefinance vikundi vya waasi wanaopora rasimali za Congo?
majib yanahitajikaBoss TumainiEl Tatizo ni kuwa hizi tetesi, Jamhuri na Serikali na Taasisi ya Rais walitakiwa wazijibu, ila tetezi hizi za Usalama wa Nchi hazijibiwi, sijui ni kwa sababu ya Usalama au wanazipuuza???!!! Au wanazifanyia kazi kichini chini.
Pia kulikuwa na tetesi kuwa Rais analindwa na wanajeshi wa Rwanda, nazo hizi hazijajibiwa. Hakuna aliyekanusha au kutolea maelezo.
Pia kulikuwa na tetesi kuwa kuna Wanyarwanda wengi wameingia kule Usukumani kwa wingi wa njungu, na wengi wao washajifunza kuongea kisukuma na washajichanganya.
Pia pale Uhamiaji, kuna tetesi Boss wake ni Mnyarwanda, pia nazo hakuna maelezo. All in All, kuna tetesi nyingi sensitive zinazogusa Mstakabadhi wa Taifa hazijajibiwa.
My Take: Hizi si habari zangu, Sina 7m - 10m za kulipa, nimesema ni tetesi. Wananchi tunataka kujua usalama wa Mali na uhai wetu, ndio maana tunauliza na tunapenda kujua.
Nikweli but as nation we need at list to know some thing other wise tusije potea njia.huu uzi kuweni makin na mnachoandika mambo ya national security sio ya kuongelea kama story za vijiweni.
Sio kila tetesi hujibiwaBoss TumainiEl Tatizo ni kuwa hizi tetesi, Jamhuri na Serikali na Taasisi ya Rais walitakiwa wazijibu, ila tetezi hizi za Usalama wa Nchi hazijibiwi, sijui ni kwa sababu ya Usalama au wanazipuuza???!!! Au wanazifanyia kazi kichini chini.
Uliwahi kubahatika kumuona mnyarwanda yoyote kwenye walinzi wa Rais japo kwa muonekano tu?Pia kulikuwa na tetesi kuwa Rais analindwa na wanajeshi wa Rwanda, nazo hizi hazijajibiwa. Hakuna aliyekanusha au kutolea maelezo.