Sumti
JF-Expert Member
- Jan 30, 2016
- 2,342
- 2,193
The Allied Democratic Forces (French: Forces démocratiques alliées; abbreviated ADF) is a rebel group in Uganda and the Democratic Republic of the Congo (DRC), and is considered a terrorist organisation by the Ugandan government.........................Magufuli anajua A to Z ila yeye akishauriwa hataki ushauri wa aina hiyo. Anaamini katika mkichwa wake pekee. ADF Siku nyingi ni waasi toka Rwanda na wanahusika kwenye smuggling ya mali za wa DR CONGO.
Tafuta kwanza ukweli wa unachokiongea kabla hujaanza kuropoka tu kwa kigezo cha uhuru wa kuongea. Umeshaona hapo link ya ADF na Rwanda? Ndio unajiita msomi wewe? Hatati sana aisee.