Tetesi: Je, Rais anaanza kumjua Kagame?

kwanza anashare kwenye mabasi ya trinity,hiyo ni kesi ya nyani
 

N'zee N'kwanda ''uwenda'' umepata makali n'zee mwenzangu weh! iii!
 
Mangi hangover ya Christmas imeisha?
 
Vipi zile tetesi kwamba KAYANDABILA ni Mnyarwanda??
 
Kuhusu u Spika chama cha Mullah wa KIA kilitoa tamko kuiunga mkono Rwanda.
 
Tatizo magufuli alidhani uraisi ua kozi na sidhani kama anajali kama alikwenfa kwa waalimu bafala kuja dar kuwapa heshima za mwisho askari wetu yawezekana anamisheni moja na kagame
 
huu uzi kuweni makin na mnachoandika mambo ya national security sio ya kuongelea kama story za vijiweni.
Kwahiyo unataka kutuambiaje?....

Hapa hatuko salama tena?

Kwamba hapa tunayoandika kila kitu chako mpaka mita ya umeme unayotumia kuchajia simu yako wanavyo?

mkuu unataka kusema maxcence mello keshakubali kututoa sadaka ya kafara wanae wa jamii forum?
 

Jiulizeni kwa nini Rwanda na Uganda hawakupiga kura ya kuunga mkono azimio la umoja wa mataifa juu ya Yerusalemu. Je, ni nani hasa anayefinance vikundi vya waasi wanaopora rasimali za Congo?
 
Jiulizeni kwa nini Rwanda na Uganda hawakupiga kura ya kuunga mkono azimio la umoja wa mataifa juu ya Yerusalemu. Je, ni nani hasa anayefinance vikundi vya waasi wanaopora rasimali za Congo?
Ni magufuli
 
majib yanahitajika
 
Alafu huyu mzee anaonekana kutokujua sana mambo mengi ya kimataifa...

Historia ya mataifa na diplomacy...

Ndioa maana ilifika hatua akwatwambia Hayat Sadam husein ni wa Kuwait
 
ADF ni waasi kutoka Uganda na sio Rwanda. Acheni propaganda za kitoto nyie genocidaire!
 
huu uzi kuweni makin na mnachoandika mambo ya national security sio ya kuongelea kama story za vijiweni.
Nikweli but as nation we need at list to know some thing other wise tusije potea njia.
 
Boss TumainiEl Tatizo ni kuwa hizi tetesi, Jamhuri na Serikali na Taasisi ya Rais walitakiwa wazijibu, ila tetezi hizi za Usalama wa Nchi hazijibiwi, sijui ni kwa sababu ya Usalama au wanazipuuza???!!! Au wanazifanyia kazi kichini chini.
Sio kila tetesi hujibiwa
 
Pia kulikuwa na tetesi kuwa Rais analindwa na wanajeshi wa Rwanda, nazo hizi hazijajibiwa. Hakuna aliyekanusha au kutolea maelezo.
Uliwahi kubahatika kumuona mnyarwanda yoyote kwenye walinzi wa Rais japo kwa muonekano tu?
Vijana wote hawa tunaozalisha tukaombe walinzi Rwanda?
Usisahau kuwa Rais pamoja na maguvu yote kuna mambo anapangiwa kama ulinzi,kula na kulala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…