Tetesi: Je, Rais anaanza kumjua Kagame?

Magufuli anajua A to Z ila yeye akishauriwa hataki ushauri wa aina hiyo. Anaamini katika mkichwa wake pekee. ADF Siku nyingi ni waasi toka Rwanda na wanahusika kwenye smuggling ya mali za wa DR CONGO.
The Allied Democratic Forces (French: Forces démocratiques alliées; abbreviated ADF) is a rebel group in Uganda and the Democratic Republic of the Congo (DRC), and is considered a terrorist organisation by the Ugandan government.........................
Tafuta kwanza ukweli wa unachokiongea kabla hujaanza kuropoka tu kwa kigezo cha uhuru wa kuongea. Umeshaona hapo link ya ADF na Rwanda? Ndio unajiita msomi wewe? Hatati sana aisee.
 
PK is overated na Wabongo.Ndio maana hata Serikali/Magu anawapuuuza tu.
 
Toka nizaliwe ni mara moja tu Tiss,walijibu hadharani na ni kwenye uchaguzi wa 2010,pale ambapo Wilbrod Slaa alpoudanganya umma kuwa zaidi ya nusu ya maafisa usalama wanaripoti kwake,kilichofuatia slaa anakijua
Na pale Zito alivyotuhumiwa na chama chake cdm wakati huo kuwa ana mawasiliano na TISS, nakumbuka Zoka (naibu Mkuu wa tiss wakati huo) aliibuka na kukanusha.
 
Unaona aje? Ukienda kuuliza ikulu hicho unachotaka kujua.humu hakuna msaada wowote but wtz tuache majunguuu
 
Toka nizaliwe ni mara moja tu Tiss,walijibu hadharani na ni kwenye uchaguzi wa 2010,pale ambapo Wilbrod Slaa alpoudanganya umma kuwa zaidi ya nusu ya maafisa usalama wanaripoti kwake,kilichofuatia slaa anakijua

Boss kabombe Sio lazima TISS wenyewe wajibu, Ndio maana kuna Msemaji wa Jamhuri aka Serikali. Nachojua kilichofuata kwa Dr. Mihogo ni Kuzawadiwa Ubalozi.
 
Boss Bossless Kama hauna majibu kaa kimya. Una Ki Front Front sana.
Wewe acha mambo ya jikoni sasa mambo ya usalama was taiga unayauliza humu ili upate majibu kutoka kwa nani wakati ofisi husika zipo .nenda affairs au tiss humu utaishia kutengeneza majungu tu .
 
Kwa kuweka kumbukumbu sahihi ni kuwa walioshambulia jeshi letu walikuwa na sare za ADF
lkn hamaanishi walikuwa ADF ndio maana kuna,ndio maana kuna uchunguzi
 
Mkuu hilo la wanyarwanda kuingia usukuman nakubaliana nalo ni kweli kwa sasa kuna wanayarwanda wasukuman

Lakin napinga kwa mkuu wa usalama wa taifa siyo mnyarwanda
 
huu uzi kuweni makin na mnachoandika mambo ya national security sio ya kuongelea kama story za vijiweni.
This is JF...

Have forgotten our motto... 'where we dare to TALK OPENLY.'
 
Mkuu hilo la wanyarwanda kuingia usukuman nakubaliana nalo ni kweli kwa sasa kuna wanayarwanda wasukuman

Lakin napinga kwa mkuu wa usalama wa taifa siyo mnyarwanda
Hao waNYAMURENGE wamekuja USUKUMANI kufanya nini!??

Ila nnavyojua mimi Wako nchi nzima tangu kitambo sana...as refugees..wengi hawakurudi..na tumesoma nao wako ktk ofisi kubwakubwa tu.
 
Na kama ni 'Broda' je, what could a Judge do.?
 
Siku akitwangwa hilo bichwa lake ndo atajua
 
Hao waNYAMURENGE wamekuja USUKUMANI kufanya nini!??

Ila nnavyojua mimi Wako nchi nzima tangu kitambo sana...as refugees..wengi hawakurudi..na tumesoma nao wako ktk ofisi kubwakubwa tu.
Mkuu wengi wanajifanya ni wasukuma na wanaongea kisukuma kama wasukuma wengine

Wengi wamekuja usukuman kama babu yake mkulu alivyozamia usukuman akitokea rwanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…