Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
- Thread starter
-
- #21
Pia ishu ya upatikanaji wa mitaji naona linasahaulika.Duniani Kote kuna ajira za aina 2.
1. Za Serikali - hizo ajira za uwalimu, Udaktari etc.
2. Za Binafsi
Serikali inatakiwa kuwa na mipango endelevu ya kuwezesha Graduates kujiajiri. Kwa Tanzania haya Mazingira yamejaa Bra bra nyingi mno kuliko uhalisia.Tatizo lipo hapo
Mabeyo alisema ukweli hajui kazi ingine zaidi ya jeshi, kupewa kazi ya kulinda faru ngorongoroWatu wanaropoka sana juu ya kujiajiri. Ila hawazungumzii mtaji. Labda uwe unatumia ndumba/uchawi kwenye biashara. Na watu sikuhizi pesa hawana ya kununua vitu. Na biashara zimekuwa nyingi mno kuliko wateja.
Jamaa yangu ametangaza biashara kila sehemu mpaka Instagram wanamdai, ila biashara haikui, na wateja ni changamoto.
Inatakiwa papatikane suluhisho. Hizi siasa zitaleta majanga.
Kujiajiri sio jambo rahisi kama watu wanavyodhania. Ukiona unabiashara yako inaenda mshukuru Mungu. Ila pia usiombe waje washindani yaani hutaamini macho yako 😂. Huuzi hata kidogo.Mabeyo alisema ukweli hajui kazi ingine zaidi ya jeshi, kupewa kazi ya kulinda faru ngorongoro
Jeuri ya posho nene za mamilioni ya fedha za uchawa ndio zinakuchanganya. Ngoja niishie hapo Mkuu.Na wewe kuwa Chawa badala ya kulia Lia kama unaona kuwa Chawa ni fursa.
Wewe hizo posho unazitaka au huzitaki?Jeuri ya posho nene za mamilioni ya fedha za uchawa ndio zinakuchanganya. Ngoja niishie hapo Mkuu.
Vijana kwenye hili taifa tumeshatolewa kafara. Hili la ajira wameshashindwa tena vibaya. Idadi ya unemployment inakuwa na ni kubwa sana kwa sasa. Katika vijana kumi ni vijana kumi hawana ajira.Hili janga la ukosefu wa ajira naona kama linazimwa hivi.
Je, kuna mpango wowote wa kutatua?
Au tusubirie saundi za kwenye kampeni.
Yaani mkuu huo ndio ukweli. Yaani majobless wameongezeka na wanazidi kuongezeka. Na wazee wamegoma kustaafu ni mwendo wa Teuzi tu. Yaani hapo Mungu mweyewe ndio atawastaafisha.Vijana kwenye hili taifa tumeshatolewa kafara. Hili la ajira wameshashindwa tena vibaya. Idadi ya unemployment inakuwa na ni kubwa sana kwa sasa. Katika vijana kumi ni vijana kumi hawana ajira.