Je, Rais kavunja Sheria ya Usalama wa Taifa ya mwaka 2023 kwa kumteua aliyekuwa Mkurugenzi wa Usalama kuwa Balozi?

Amechagua kukaa kimya.
Nadhani kusema ameamua kukaa kimya sio sahihi sana. Ni kwamba hasikii kabisa malalamiko ya raia (si ndiye alisema ametia pamba masikioni?). Halafu mwacheni mheshimiwadaktari- ameshasema ana aibu.
 
Yaani Sheria imepitishwa July mwaka huu, na wameisahau!!! Au mama bado hajaisaini kuwa Sheria, tumechagua vijana wadogo ili wawe wanasema ndiooo, wazee wabobezii wenye kushauri wamepigwa chini
 
Weka hiyo SHERIA TUISOME NDIO TUCHANGIE
 
Hapana,hata mie ni mama ila ukija ofisini kwangu mie ni afisa ...,fullstop,punguzeni uswahil
Kawapigishe fullstop unaowaweza.

Stress zako ishi nazo.

Sisi tutamuita mama kama tunavyomuita sasa.

Mama Samia
 
Sio mama kimakwelii ni kama vile mama maria au mama mongela mwalimu Nyerere mzee mwinyi so and so
 

Uko sahihi mkuu AbaMukulu .

Mleta mada amejikita kwenye Bill (mswaada) pekee, ambayo ni kweli ilikuwa na mapendekezo hayo ya maboresho ya Sheria husika.

Lakini, mapendekezo ya maboresho hayo hayakuchukuliwa yote. Baadhi yalichukuliwa, baadhi hayakuchukuliwa including hiyo section 6 ('6') anayozungumzia mleta mada. Pendekezo la Subsection hii mpya lilikuwa wiped out, nadhani ni kwasababu ilionekana kuwa na 'madhara' zaidi kuliko faida kwa Taifa.

1. PRINCIPAL LEGISLATION yenyewe (1996):




2. Amendment Bill (Mswaada) - May 2023:




3. Amendment Act (Reforms) - July 2023:



Cc: DR Mambo AMP .

-Kaveli-
 
Boss with all due respect "mama na madam" hazifanan na zinahadhi tofauti.Hebu nenda hapo tu Kenya halafu muite mwanamke yyt(kama ulivyosema mkubwa) maàm!!..Ndio utajua kwann bata haend haja kama kuku!Mama ni cheo,madam ndio heshima!Kwahyo Rais wako hana cheo hicho cha mama,muite madam au vinginevyo sio Mama.Unajiona unajua kumbe hamna kitu
 
Ngoja niipitie
 
Nimekuelewa sana Mkuu and all I wanted ni kupata reassurence so kuna kitu bado nakiwaza kichwani...
So kabla sheria haijapitoshwa iliandaliwa reform yake means Bunge lilipitisha mswada Mwezi July na mwezi huo huo Wakaomba reform 🤔🤔🤔🤔 Doubtfully mkuu hebu nitoe Tongotongo hapo...
Means kwa Miezi miwili sheria moja imekuwa ammended mara Mbili Ilipata muda lini kusainiwa na kuridishwa tena bungeni kufanyiwa reform baada ya kulitishwa na bunge??? Sorry kama utaweza kurespond i will be waiting......

Cc:- Kaveli
 
Boss Its matter of formal english Ya kawaida sana Ma'am ni kifupi cha madam..Na nakubaliana na wewe kuwa mama na ma'am ni tofauti ila ma'am niliyoielezea ilikuwa madame na nikasema hiyo madam kwa waswahili tumezoea kuita mama kama heshima Au kwa AWazungu ni ma'aam nafikiri pitia comment yangu utaelewa...
Cha ajabu unakuja kuniambia kuhusu kenya Dah we need education guyz ndo maana lowasa alisemaga elimu elimu elmu.... SO madam na ma'am are the same Mr sijui umenielewa?

Cc; 1120ulimwengu
 
Ujinga wetu unajidhihirisha pale umeme unapokata from saa kumi na mbili asubuhi ukirudi jioni tunapiga kelele huooooooo!!! Kama mazombi!

Watoto nao utasikiaa huoooooooo!

Mtaa wa pili huooooo
Umekatika 12:45 asubuh umerudi 22:29 na kukata 22:29 usiku
 
Elimu finyu ama anauelewa mdogo ama lack of common sense..Bora umemumfafanulia...
 
Wakili msomi Pascal Mayalla Petro E. Mselewa uwanja wenu huu
 

Kama wamaanisha DG aliemaliza muda wake basi Raisi kwa kutumia decree amteua DG wa zamani kuwa balozi.

Ndo maana Kamanda Sirro nae alipata shavu na kuwa balozi kisha kupelekwa mbali na eneo la tukio.

Pamoja na hayo masuali yako yalipaswa kuulizwa Bungeni na ndo maana tunashauri uteuzi wa watu kama wakuu wa TISS wawe wathibitishwa Bungeni baada ya kuhojiwa masuali kadha wa kadha na wabunge kufahamu uelewa wao wa nchi na masuala mazima ya usalama.

Hata hivyo, kifungu hicho cha 6 chasema huyo DG anaeshika au aliewahi kushika nafasi hiyo hatoteuliwa kushika wadhifa wowote ndani ya serikali ya Jamhuri ya Muungano lakini kiufundi ni kwamba yabidi mtu huyo ateuliwe balozi ili aweze kushika nyadhifa hiyo ya ubalozi nje ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwakilisha nchi na hapo ndipo raisi atumia decree kufanya uteuzi wa balozi.

Sasa hapa kama kuna ufafanuzi zaidi wa kisheria nafikiri wapo wajuvi zaidi.

Nchi nyingi za wenzetu, DG wa chombo hichi hutoka ndani ya jeshi au idara yenyewe akiwa na heshima ilotukuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…