Walimpa ushauri kichaa
Maadam rais Magufuli aliahidi ataufanyia kazi ushauri wao, then ataufanyia kazi, unless kama alitoa na time frame kuwa ataufanyia kazi by lini, na sasa muda huo umepita, ndipo unaweza kuuliza kama ameupuuzia!.Mnamo tarehe 6 mwezi July mwaka huu, Rais Magufuli aliwaalika viongozi wastaafu, Ikulu, kwa ajili ya kupokea ushauri wao na baada ya viongozi hao kutoa ushauri huo, Rais Magufuli aliahidi kuwa ataufanyia kazi
Mungu ibariki Tanzania
Kama nimemuelewa vizuri, ana maanisha, hao wastaafu, waliutoa huo ushauri kwa MTU AMBAYE NI KICHAA!Ushauri kichaa kivii Mkuu??
Wakati walitoa ushauri wa busara sana kuwa Taifa ni LAZIMA liongozwe kwa kuzingatia sheria za nchi
Jee ni wateule gani hao ambao wanaonyesha wazi hawataki kuendesha utawala wa sheria katika maeneo yao?. Ukiwataja, utaje na ni wapi wamekiuka utawala wa sheria katika maeneo yao.Kitendo cha Rais Magufuli kushikwa na "kigugumizi" kuwachukulia hatua wateule wake ambao wanaonyesha wazi hawataki kuendesha utawala wa sheria katika maeneo yao, unaonyesha kuwa Rais Magufuli amepuuza ushauri uliotolewa na wastaafu hao
Kwa kuwa tumeendelea kuona matamko ya ajabu ajabu yanayotolewa na wateule hao wa Rais, kiasi cha kuona kama nchi haitawaliwi tena na sheria na badala yake tunatawaliwa na matamko ya kisiasa ya wateule hao wamayoyatoa majukwaani!
Mungu ibariki Tanzania
Kwani wewe Mkuu Paskali huwajui??Jee ni wateule gani hao ambao wanaonyesha wazi hawataki kuendesha utawala wa sheria katika maeneo yao?. Ukiwataja, utaje na ni wapi wamekiuka utawala wa sheria katika maeneo yao.
Sio vibaya na ukatuwekea mifano angalau mmoja wa hayo matamko ya ajabu ajabu yanayotolewa na wateule hao wa Rais, kiasi cha kuona kama nchi haitawaliwi tena na sheria na badala yake tunatawaliwa na matamko ya kisiasa ya wateule hao wamayoyatoa majukwaani!.
P.
Kiukweli siwajui wateule wowote ambao wanaonyesha wazi hawataki kuendesha utawala wa sheria katika maeneo yao, ndio maana niuliza ututajie. Na kukusisitiza, ukiwataja, utaje na ni maeneo ya utawala wa sheria waliyoyakiuka.Kwani wewe Mkuu Paskali huwajui??
Justice delayed is justice denied!Maadam rais Magufuli aliahidi ataufanyia kazi ushauri wao, then ataufanyia kazi, unless kama alitoa na time frame kuwa ataufanyia kazi by lini, na sasa muda huo umepita, ndipo unaweza kuuliza kama ameupuuzia!.
P.
Its true, na hili nimelizungumza katika pongezi zangu kwa rais Magufuli katika bandiko hiliJustice delayed is justice denied!
Haki ni moja ya vitu muhimu kabisa katika taifa.Nimemuona akihutubia kwa tone ya humility na genuinity, hivyo mnaweza kushangaa akasimamia kuhakikisha ofisi ya DPP inatenda haki kweli na haki ikaonekana inatendeka, hivyo wote wanaoozea kwenye mahabusu za nchi hii wengine kwa zaidi ya miaka 7 kama wakili Medium Mwale, na wale wanaozea Keko, Ukonga, Segerea na mahabusu nyingine kama Harry Kitilya, Sioi Sumari, Shose Sinare, kina Isaack Kasanga, kina Gonzaga, kina James Rugemalila na wengine wengi, wanatendewa haki, na haki kuonekana inatendeka!. Kuna watu wanaoshitakiwa kwa makosa ambayo ukikutwa na hatia adhabu yake ni kifungo cha mwaka mmoja jela, lakini mtu yuko mahabusu mwaka wa 7 sasa na kesi haijaanza kusikilizwa!, huu ni uchunguzi gani ambao haukamiliki, na hii ni haki ya aina gani?!.
wewe jamaa hupo serious...sijui ume' be hackedKiukweli siwajui wateule wowote ambao wanaonyesha wazi hawataki kuendesha utawala wa sheria katika maeneo yao, ndio maana niuliza ututajie. Na kukusisitiza, ukiwataja, utaje na ni maeneo ya utawala wa sheria waliyoyakiuka.
Sio vibaya na ukatuwekea mifano angalau mmoja wa hayo matamko ya ajabu ajabu yanayotolewa na wateule hao wa Rais, kiasi cha kuona kama nchi haitawaliwi tena na sheria na badala yake tunatawaliwa na matamko ya kisiasa ya wateule hao wamayoyatoa majukwaani!.
P.
Mtu mwenyewe katutamkia jana kuwa yeye ni kichaa, so usishangae kwani hawanaga uweze wa kujifunzaMnamo tarehe 6 mwezi July mwaka huu, Rais Magufuli aliwaalika viongozi wastaafu, Ikulu, kwa ajili ya kupokea ushauri wao na baada ya viongozi hao kutoa ushauri huo, Rais Magufuli aliahidi kuwa ataufanyia kazi
Miongoni ya ushauri wa busara kabisa, uliotolewa siku hiyo ni wa majaji wastaafu, Barnabas Samatta na Augustino Ramadhan
Alianza Jaji Mkuu mstaafu Barnabas Samatta, ambaye alielezea kuwa, juhudi kubwa ya kuongeza uchumi unaofanywa na serkali ya awamu ya tao hapa nchini ni LAZIMA iambatane na utawala wa sheria. Akaendelea kueleza Jaji Mkuu huyo mstaafu kuwa anashangaa, namna wateule wake Rais, wanavyotekeleza majukumu yao, hususani maDC na maRC, ambao mara nyingi hutekeleza majukumu yao kinyume kabisa na sheria tulizojiwekea sisi wenyewe!
Jaji Mkuu huyo mstaafu aliendelea kueleza kuwa kutokana na hao maDC na maRC kutekeleza majukumu yao kinyume cha sheria, ndipo hapo huwa anajiuliza uko wapi utawala wa sheria tuliojiwekea nchi hii??
Akaja Jaji Mkuu mstaafu Augustino Ramadhan, ambaye naye alisisitiza sana utawala wa sheria. Naye akasisitiza kuwa HAKI huliinua Taifa, bila kuzingatia utawala wa sheria, tutakuwa tunawaonea baadhi ya wananchi na kuwaona baadhi ya watu kuwa na "impunity" ya kutoweza kushitakiwa au kuonekana na makosa
Huo ulikuwa ni ushauri wa busara sana, ikiwa Taifa hili litataka kuinuka na kustawi, ambapo mwisho wa mazungumzo hayo, ambapo Rais Magufuli aliwashukuru sana viongozi hao wastaafu na akaahidi kuyafanyia kazi, maoni yote yaliyotolewa na viongozi hao
Kitendo cha Rais Magufuli kushikwa na "kigugumizi" kuwachukulia hatua wateule wake ambao wanaonyesha wazi hawataki kuendesha utawala wa sheria katika maeneo yao, unaonyesha kuwa Rais Magufuli amepuuza ushauri uliotolewa na wastaafu hao
Kwa kuwa tumeendelea kuona matamko ya ajabu ajabu yanayotolewa na wateule hao wa Rais, kiasi cha kuona kama nchi haitawaliwi tena na sheria na badala yake tunatawaliwa na matamko ya kisiasa ya wateule hao wamayoyatoa majukwaani!
Mungu ibariki Tanzania
Niko very serious on my own way, but only kwa wale wanaonielewa!.wewe jamaa hupo serious...sijui ume' be hacked
Ni ukweli usiopingika hata na jamaa zetu wa LumumbaIts true, na hili nimelizungumza katika pongezi zangu kwa rais Magufuli katika bandiko hili
JPM is Getting Better and Better, He is Changing for The Better!. Hongera Sana!. - JamiiForums
Kwenye eneo la justice delayed is justice denied, nimesema
Haki ni moja ya vitu muhimu kabisa katika taifa.
P.