Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,353
- 22,963
Mzee Pascal mtu huyu jana, kampongeza waziri wake kwa ukichaa kama wa kwake!!! Wakati yule waziri, amevunja haki za binadaamu kwa wavuvi na kuwafanya masikini wa kutupwa !!!.Maadam rais Magufuli aliahidi ataufanyia kazi ushauri wao, then ataufanyia kazi, unless kama alitoa na time frame kuwa ataufanyia kazi by lini, na sasa muda huo umepita, ndipo unaweza kuuliza kama ameupuuzia!.
P.
Sasa mtu kama huyu anayefurahia wateule wake wanaowafanyia unyama wananchi, ataheshimu utawala wa sheria ?! Hasa inapokuwa dhidi yake na utawala wake?!