Je, Rais Magufuli amepuuza ushauri uliotolewa na viongozi wastaafu?

Je, Rais Magufuli amepuuza ushauri uliotolewa na viongozi wastaafu?

Niko very serious on my own way, but only kwa wale wanaonielewa!.
P.
oky. bila shaka ulitaka orodha ya wateule wa raisi ambao mara nyingi hawafuati utawala wa sheria...hawa hapa-:
1. Paul Makonda (haihitaji ufafanuzi labda ulete ubishi tu)
2. Jerry Muro (huyu hana ethics wala ujuzi wa uongozi alidhani kapewa kazi ya umonita wa darasa)

Kwa mwanzo huo, wengine unaweza jazilizia mwenyewe maana wapo wengi!
 
Ni ukweli usiopingika hata na jamaa zetu wa Lumumba
Jibu basi maswali yangu haya..

Jee ni wateule gani hao ambao wanaonyesha wazi hawataki kuendesha utawala wa sheria katika maeneo yao?. Ukiwataja, utaje na ni wapi wamekiuka utawala wa sheria katika maeneo yao.

Sio vibaya na ukatuwekea mifano angalau mmoja wa hayo matamko ya ajabu ajabu yanayotolewa na wateule hao wa Rais, kiasi cha kuona kama nchi haitawaliwi tena na sheria na badala yake tunatawaliwa na matamko ya kisiasa ya wateule hao wamayoyatoa majukwaani!.
P.
 
oky. bila shaka ulitaka orodha ya wateule wa raisi ambao mara nyingi hawafuati utawala wa sheria...hawa hapa-:
1. Paul Makonda (haihitaji ufafanuzi labda ulete ubishi tu)
Kwa mwanzo huo, wengine unaweza jazilizia mwenyewe maana wapo wengi!
Hili la Paul Makonda, mimi nililifanyia upembuzi yakinifu toka zile tuhuma za kufoji jina na vyeti, nikabaini kuwa ni
Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! . - JamiiForums

Hili la juzi la makontena pia nilibaini
TCRA, mtafuteni aliyechomekea picha hii ashitakiwe kwa upotoshaji!. Watu wataaibika na kuonekana hawana maana!. - JamiiForums

Na nikatoa angalizo hili
Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!. - JamiiForums
P.
 
Jee ni wateule gani hao ambao wanaonyesha wazi hawataki kuendesha utawala wa sheria katika maeneo yao?. Ukiwataja, utaje na ni wapi wamekiuka utawala wa sheria katika maeneo yao.

Sio vibaya na ukatuwekea mifano angalau mmoja wa hayo matamko ya ajabu ajabu yanayotolewa na wateule hao wa Rais, kiasi cha kuona kama nchi haitawaliwi tena na sheria na badala yake tunatawaliwa na matamko ya kisiasa ya wateule hao wamayoyatoa majukwaani!.
P.
P. Kumbukumbu zinaniambia kuna siku Ulikuwa ikulu ukamuliza mkuu swali,

Je kwanini ulijikita katika swali la utawala wa sheria? Uliona nini kwa utawala wa Magufuli (kichaa)

mr mkiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maadam rais Magufuli aliahidi ataufanyia kazi ushauri wao, then ataufanyia kazi, unless kama alitoa na time frame kuwa ataufanyia kazi by lini, na sasa muda huo umepita, ndipo unaweza kuuliza kama ameupuuzia!.

P.
Pole sana kwakuwa hakutoa time frame kwahiyo ndio apuuzie ushauri? Kijana angalia niwapi ulipo anguka ukatubu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
oky. bila shaka ulitaka orodha ya wateule wa raisi ambao mara nyingi hawafuati utawala wa sheria...hawa hapa-:
1. Paul Makonda (haihitaji ufafanuzi labda ulete ubishi tu)
2. Jerry Muro (huyu hana ethics wala ujuzi wa uongozi alidhani kapewa kazi ya umonita wa darasa)

Kwa mwanzo huo, wengine unaweza jazilizia mwenyewe maana wapo wengi!
Kwa kuongezea hapo Mkuu Louis 11 ni kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo alinukuliwa akiwahamasisha wanaccm wenzie kuwa ukifika wakati wa uchaguzi ni lazima jimbo la Arusha mjini lirudi CCM, na akaendelea kueleza kuwa hata ikibidi wanaccm wawafanyie fujo upinzani!

Hivi bado tu haoni kuwa hizo ndiyo kauli za uchochezi zinazoweza kulifanya Taifa hili liingie katika machafuko makubwa ya umwagikaji damu??

Au ndiyo yupo kwenye waiting list ya Mkulu ya teuzi za uDC, uDED na uRC??
 
Nani aliyekiuka ...acheni blah blah za vijiweni
 
Kwenye ishu ya vyeti p usilete siasa

Je kama Ulikuwa uongo , uzushi, fitna, majungu, wivu, upembuzi wako ulikuwa sambamba na ushaidi na uhalali wa kutoka NECTA kama reference ya hayo .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anatafuta uteuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa jinsi nilivyomuelewa paskal hapa anataka watu wawataje wale viongozi na kauli zao za kibabe walizozitoa zinazoashiria uvunjwaji wa sheria ili iwe rahisi kuwajadili kwa mfano Kuna mkutano mrisho gambo mkuu wa mkoa arusha aliposema ccm ni ruksa kufanya fujo kwa kuwa mbunge sio wa ccm kama nimekosea tuendelee kurekebishana.
 
Pole sana kwakuwa hakutoa time frame kwahiyo ndio apuuzie ushauri? Kijana angalia niwapi ulipo anguka ukatubu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Kalubule, kwa vile hakuna set time frame, huwezi kusema amepuuza ushauri!.
Hata ile ahadi ya milioni 50 kila kijiji, itatekelezwa tuu!.

Sisi Wakristu tumefunzwa kuwa na subra, kwa vile hamjui siku wala saa, kesheni mkiomba!.
P.
 
Sio kwamba kapuuza ushauri wa majaji hao tu bali hata wa BWM aliyemfikisha hapo alipo ameupuuza kabisa, kwa clip zilizotolewa BWM alishauri serkali ijitambulishe kama serikali ya chama cha mapinduzi na sio serikali ya JPM, Kama ulifatilia jana wakati anamsifia mbunge wa upinzani aliyempongeza, alijisifu sana kuwa serikali ya JPM inaleta maendeleo, wakati alishauriwa asitumie neno hilo.

Ila ni ukichaa kumshauri kichaa
 
Naona walisahau kuwa yeye ndiye rais. Kabla hawajatoa ushauri wangemuuliza JK nini kilichotokea wakati JPM anaapishwa

Sent from my ONE TOUCH 4033D using Tapatalk
 
Kuna wakati inakubidi upuuze baadhi ya matendo hata kama yanakuumiza, kwa hali iliyopo sasa hivi ni kupoteza muda kuishauri kitu chochote serikali ya Rais Magufuli kwani walishajiwekea utaraibu wa kuamini wao ni watukufu kuliko mtu yoyote aliyewahi kuishi nchi hii na hawa ndio waokozi waliosubiriwa kwa kuda mrefu yaani bila wao nchi hii haitakuwepo.
Mnachotakiwa kufanya sasa hivi ni kumuacha Rais Magufuli na serikali yake wafanye wanavyotaka halafu muda ndio utakuwa mwalimu mzuri kwao kuliko washauri.
Ziko wapi NOAH zenu na Makinikia?
 
Kiukweli siwajui wateule wowote ambao wanaonyesha wazi hawataki kuendesha utawala wa sheria katika maeneo yao, ndio maana niuliza ututajie. Na kukusisitiza, ukiwataja, utaje na ni maeneo ya utawala wa sheria waliyoyakiuka.

Sio vibaya na ukatuwekea mifano angalau mmoja wa hayo matamko ya ajabu ajabu yanayotolewa na wateule hao wa Rais, kiasi cha kuona kama nchi haitawaliwi tena na sheria na badala yake tunatawaliwa na matamko ya kisiasa ya wateule hao wamayoyatoa majukwaani!.
P.
HUWEZI KUWAJUA KWA KUWA NI WASUKUMA WENZAKO.
 
Back
Top Bottom