oky. bila shaka ulitaka orodha ya wateule wa raisi ambao mara nyingi hawafuati utawala wa sheria...hawa hapa-:Niko very serious on my own way, but only kwa wale wanaonielewa!.
P.
Jibu basi maswali yangu haya..Ni ukweli usiopingika hata na jamaa zetu wa Lumumba
Hili la Paul Makonda, mimi nililifanyia upembuzi yakinifu toka zile tuhuma za kufoji jina na vyeti, nikabaini kuwa nioky. bila shaka ulitaka orodha ya wateule wa raisi ambao mara nyingi hawafuati utawala wa sheria...hawa hapa-:
1. Paul Makonda (haihitaji ufafanuzi labda ulete ubishi tu)
Kwa mwanzo huo, wengine unaweza jazilizia mwenyewe maana wapo wengi!
P. Kumbukumbu zinaniambia kuna siku Ulikuwa ikulu ukamuliza mkuu swali,Jee ni wateule gani hao ambao wanaonyesha wazi hawataki kuendesha utawala wa sheria katika maeneo yao?. Ukiwataja, utaje na ni wapi wamekiuka utawala wa sheria katika maeneo yao.
Sio vibaya na ukatuwekea mifano angalau mmoja wa hayo matamko ya ajabu ajabu yanayotolewa na wateule hao wa Rais, kiasi cha kuona kama nchi haitawaliwi tena na sheria na badala yake tunatawaliwa na matamko ya kisiasa ya wateule hao wamayoyatoa majukwaani!.
P.
Mkuu Mr. Mikiki, yaliyopita sii ndwele, tugange yaliyopo na yajayo!.P. Kumbukumbu zinaniambia kuna siku Ulikuwa ikulu ukamuliza mkuu swali,
Je kwanini ulijikita katika swali la utawala wa sheria? Uliona nini kwa utawala wa Magufuli (kichaa)
mr mkiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana kwakuwa hakutoa time frame kwahiyo ndio apuuzie ushauri? Kijana angalia niwapi ulipo anguka ukatubuMaadam rais Magufuli aliahidi ataufanyia kazi ushauri wao, then ataufanyia kazi, unless kama alitoa na time frame kuwa ataufanyia kazi by lini, na sasa muda huo umepita, ndipo unaweza kuuliza kama ameupuuzia!.
P.
Kwa kuongezea hapo Mkuu Louis 11 ni kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo alinukuliwa akiwahamasisha wanaccm wenzie kuwa ukifika wakati wa uchaguzi ni lazima jimbo la Arusha mjini lirudi CCM, na akaendelea kueleza kuwa hata ikibidi wanaccm wawafanyie fujo upinzani!oky. bila shaka ulitaka orodha ya wateule wa raisi ambao mara nyingi hawafuati utawala wa sheria...hawa hapa-:
1. Paul Makonda (haihitaji ufafanuzi labda ulete ubishi tu)
2. Jerry Muro (huyu hana ethics wala ujuzi wa uongozi alidhani kapewa kazi ya umonita wa darasa)
Kwa mwanzo huo, wengine unaweza jazilizia mwenyewe maana wapo wengi!
Kwenye ishu ya vyeti p usilete siasaHili la Paul Makonda, mimi nililifanyia upembuzi yakinifu toka zile tuhuma za kufoji jina na vyeti, nikabaini kuwa ni
Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! . - JamiiForums
Hili la juzi la makontena pia nilibaini
TCRA, mtafuteni aliyechomekea picha hii ashitakiwe kwa upotoshaji!. Watu wataaibika na kuonekana hawana maana!. - JamiiForums
Na nikatoa angalizo hili
Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!. - JamiiForums
P.
Kwa jinsi nilivyomuelewa paskal hapa anataka watu wawataje wale viongozi na kauli zao za kibabe walizozitoa zinazoashiria uvunjwaji wa sheria ili iwe rahisi kuwajadili kwa mfano Kuna mkutano mrisho gambo mkuu wa mkoa arusha aliposema ccm ni ruksa kufanya fujo kwa kuwa mbunge sio wa ccm kama nimekosea tuendelee kurekebishana.
Mkuu Mr. Mkiki, hapa Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! . - JamiiForumsKwenye ishu ya vyeti p usilete siasa
Je kama Ulikuwa uongo , uzushi, fitna, majungu, wivu, upembuzi wako ulikuwa sambamba na ushaidi na uhalali wa kutoka NECTA kama reference ya hayo .
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Kalubule, kwa vile hakuna set time frame, huwezi kusema amepuuza ushauri!.Pole sana kwakuwa hakutoa time frame kwahiyo ndio apuuzie ushauri? Kijana angalia niwapi ulipo anguka ukatubu
Sent using Jamii Forums mobile app
πππmagufuli, ushauri, wastaafu, busara, sheria
Hii misamiati haipikiki chungu kimoja!
Sent using Jamii Forums mobile app
P. Umekuwa necta, kweli nimeamini elimu yetu kila mtu anainya atakanyo. (Yani wewe unahalalisha mtu huyu ana cheti, mtu na cheti feki)Mkuu Mr. Mkiki, hapa Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! . - JamiiForums
hakuna siasa, hakuna cha NECTA wala nini, nimepresent facts halisi zilizopo!.
P.
π³π³π³ Sijaisikia hiyo mkuuMtu mwenyewe katutamkia jana kuwa yeye ni kichaa, so usishangae kwani hawanaga uweze wa kujifunza
HUWEZI KUWAJUA KWA KUWA NI WASUKUMA WENZAKO.Kiukweli siwajui wateule wowote ambao wanaonyesha wazi hawataki kuendesha utawala wa sheria katika maeneo yao, ndio maana niuliza ututajie. Na kukusisitiza, ukiwataja, utaje na ni maeneo ya utawala wa sheria waliyoyakiuka.
Sio vibaya na ukatuwekea mifano angalau mmoja wa hayo matamko ya ajabu ajabu yanayotolewa na wateule hao wa Rais, kiasi cha kuona kama nchi haitawaliwi tena na sheria na badala yake tunatawaliwa na matamko ya kisiasa ya wateule hao wamayoyatoa majukwaani!.
P.