Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,353
- 22,963
Mzee Pascal mtu huyu jana, kampongeza waziri wake kwa ukichaa kama wa kwake!!! Wakati yule waziri, amevunja haki za binadaamu kwa wavuvi na kuwafanya masikini wa kutupwa !!!.Maadam rais Magufuli aliahidi ataufanyia kazi ushauri wao, then ataufanyia kazi, unless kama alitoa na time frame kuwa ataufanyia kazi by lini, na sasa muda huo umepita, ndipo unaweza kuuliza kama ameupuuzia!.
P.
Kama kunamambo hayako sawa na yanaonekana halafu huyatendei kazi huku ukisema mda bado that means kunawengine unawaumizaMkuu Kalubule, kwa vile hakuna set time frame, huwezi kusema amepuuza ushauri!.
Hata ile ahadi ya milioni 50 kila kijiji, itatekelezwa tuu!.
Sisi Wakristu tumefunzwa kuwa na subra, kwa vile hamjui siku wala saa, kesheni mkiomba!.
P.
Mkuu Odhiambo Cairo, kwa sisi tuliomfuatilia huyu mtu kabla hajawa rais, alipoingia tukamfuatilia kwa kauli na matendo, na sasa tunaendelea kumfuatilia, amini nakuambia, this man has changed a lot, and its for the better!.Mzee Pascal mtu huyu jana, kampongeza waziri wake kwa ukichaa kama wa kwake!!! Wakati yule waziri, amevunja haki za binadaamu kwa wavuvi na kuwafanya masikini wa kutupwa !!!.
Sasa mtu kama huyu anayefurahia wateule wake wanaowafanyia unyama wananchi, ataheshimu utawala wa sheria ?! Hasa inapokuwa dhidi yake na utawala wake?!
Hili la wengine kufurahi, huku wengine wakiumia ni la kawaida sana katika mifumo yote ya utawala, huwezi kufanya kila kitu katika wakati mmoja, hivyo utachagua uanze na nini. Tusimpangie kazi rais wa JMT, atatekeleza at his own time!.Kama kunamambo hayako sawa na yanaonekana halafu huyatendei kazi huku ukisema mda bado that means kunawengine unawaumiza
Sent using Jamii Forums mobile app
Pascal mimi huyu mtu si kama namchukia, ila natamani hiyo 2025 ingekuwa kesho.Mkuu Odhiambo Cairo, kwa sisi tuliomfuatilia huyu mtu kabla hajawa rais, alipoingia tukamfuatilia kwa kauli na matendo, na sasa tunaendelea kumfuatilia, amini nakuambia, this man has changed a lot, and its for the better!.
Magufuli is Getting Better and Better, He is Changing for The Better!. Hongera Sana!. - JamiiForums
P.
Hata kwa ile akili yako tu uliyopewa na Mungu ile ya kuvukia barabara ( tuachane na ya shule ) , unadhani Magufuli anaweza kupokea na kuufanyia kazi ushauri wa Mtu yeyote ?Maadam rais Magufuli aliahidi ataufanyia kazi ushauri wao, then ataufanyia kazi, unless kama alitoa na time frame kuwa ataufanyia kazi by lini, na sasa muda huo umepita, ndipo unaweza kuuliza kama ameupuuzia!.
P.
Mr. Mikiki, nadhani humu jf, hakuna aliyeizungumzia issue hii kuliko mimi.P. Umekuwa necta, kweli nimeamini elimu yetu kila mtu anainya atakanyo. (Yani wewe unahalalisha mtu huyu ana cheti, mtu na cheti feki)
Je ulikwenda hata kwa Makonda kumtaka akuonyeshe cheti chake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Erthrocyte, hili la rais Magufuli kupokea ushauri na kuufanyia kazi, wala sio jambo la kudhania, mimi mwenyewe tuu humu jf, I'm nobody, lakini kuna vitu nashauri humu, rais Magufuli anavifanyia kazi na matokeo tunayaona!.Hata kwa ile akili yako tu uliyopewa na Mungu ile ya kuvukia barabara ( tuachane na ya shule ) , unadhani Magufuli anaweza kupokea na kuufanyia kazi ushauri wa Mtu yeyote ?
Mkuu Othiambo, huu unaitwa mtindo wa utawala, kama ilivyo kwenye kujenga nyumba, kama kuna makosa, kuna sehemu unaweza kurekebisha tuu, na ukaendelea na nyumba ikasimama, lakini kuna makosa, lazima ubomoe, ujenge upya ndipo nyumba itasimama imara.Pascal mimi huyu mtu si kama namchukia, ila natamani hiyo 2025 ingekuwa kesho.
Huwezi kushabikia mtu aliyewatia watu umaskini hata wasiohusika na tatizo !!. Halafu ukajihesabu unafuata utawala wa sheria
Kongole SanaKwa jinsi nilivyomuelewa paskal hapa anataka watu wawataje wale viongozi na kauli zao za kibabe walizozitoa zinazoashiria uvunjwaji wa sheria ili iwe rahisi kuwajadili kwa mfano Kuna mkutano mrisho gambo mkuu wa mkoa arusha aliposema ccm ni ruksa kufanya fujo kwa kuwa mbunge sio wa ccm kama nimekosea tuendelee kurekebishana.
watu tunatofautiana Uwezo wa kufikiri....kuna wenzetu yapaswa tuwasamehe kwani wanatupa uchungu sana kujifanya vipofu kwa yatokeayo....nina hasira sana!Kwa kuongezea hapo Mkuu Louis 11 ni kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo alinukuliwa akiwahamasisha wanaccm wenzie kuwa ukifika wakati wa uchaguzi ni lazima jimbo la Arusha mjini lirudi CCM, na akaendelea kueleza kuwa hata ikibidi wanaccm wawafanyie fujo upinzani!
Hivi bado tu haoni kuwa hizo ndiyo kauli za uchochezi zinazoweza kulifanya Taifa hili liingie katika machafuko makubwa ya umwagikaji damu??
Au ndiyo yupo kwenye waiting list ya Mkulu ya teuzi za uDC, uDED na uRC??
Yetu macho tuombe uhai!!Mkuu Othiambo, huu unaitwa mtindo wa utawala, kama ilivyo kwenye kujenga nyumba, kama kuna makosa, kuna sehemu unaweza kurekebisha tuu, na ukaendelea na nyumba ikasimama, lakini kuna makosa, lazima ubomoe, ujenge upya ndipo nyumba itasimama imara.
Hivyo kuwatesa wananchi kwa umasikini wa muda mfupi ili kuwajengea neema ya muda mrefu, pia kupo and it's the right thing to do.
P.
Maadam rais Magufuli aliahidi ataufanyia kazi ushauri wao, then ataufanyia kazi, unless kama alitoa na time frame kuwa ataufanyia kazi by lini, na sasa muda huo umepita, ndipo unaweza kuuliza kama ameupuuzia!.
P.
siku hizi unatumia nguvu kubwa sana kutaka kuichukua nafasi ya gerson msigwa.Jee ni wateule gani hao ambao wanaonyesha wazi hawataki kuendesha utawala wa sheria katika maeneo yao?. Ukiwataja, utaje na ni wapi wamekiuka utawala wa sheria katika maeneo yao.
Sio vibaya na ukatuwekea mifano angalau mmoja wa hayo matamko ya ajabu ajabu yanayotolewa na wateule hao wa Rais, kiasi cha kuona kama nchi haitawaliwi tena na sheria na badala yake tunatawaliwa na matamko ya kisiasa ya wateule hao wamayoyatoa majukwaani!.
P.
Pia kuna sheria kandamizi na si zote ni sheria za maanaSawa mkuu. Na sisi wananchi tufuate sheria
Mkuu Pasco!Mkuu Erthrocyte, hili la rais Magufuli kupokea ushauri na kuufanyia kazi, wala sio jambo la kudhania, mimi mwenyewe tuu humu jf, I'm nobody, lakini kuna vitu nashauri humu, rais Magufuli anavifanyia kazi na matokeo tunayaona!.
Suala la kupokea ushauri halina mjadala, ila kama anaufanyia kazi au la, hili sio letu, ni lake, kwa sababu, kwa mujibu wa katiba yetu, rais wetu halazimishwi kufuata ushauri wa yeyote, atafikia maamuzi kama yeye peke yake.
P.
Wotye tunatakiwa kufuata sheria na sio wengine kuwa juu ya sheria au katiba.Sawa mkuu. Na sisi wananchi tufuate sheria
Kumbuka hayo nimawazo yako