Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kuna Tetesi kwamba Mh Rais alijaribu kushawishi Chadema kuruhusu Wabunge waliofukuzwa ndani ya chama hicho kwa usaliti waruhusiwe kuingia kwenye kongamano la Bawacha.
Mtoa taarifa hiyo anadai kwamba Viongozi wa Chadema walikataa jambo hilo na kumuambiwa Mh Rais kwamba Jambo la Wasaliti hao lilikwisha malizwa na Baraza Kuu, na kwamba Chadema inaheshimu vikao vya Chama.
Taarifa zaidi zinaeleza kwamba hoja hii ya Rais ilivuja mapema , kwa vile hakuifanya kuwa siri akiamini itakubaliwa na Chadema ili iwe sehemu ya maridhiano , ndio maana baadhi ya CHAWA WAKE hapa JF walimwaga nyuzi nyingi za kukejeli Chadema kwa kukubali jambo hilo.
Inadaiwa Kauli ya Rais ya Kuhoji Sura anazoziona kama zina uwezo wa kuongoza nchi inatokana na kukwazika na msimamo wa Chadema wa kuwakataa kata kata Mamluki wakiongozwa na Halima Mdee .
Tutaendelea kuwaletea machache kati ya mengi yaliyojili nyuma ya pazia kabla ya kongamano lililovunja rekodi la BAWACHA.
Usiondoke JF