Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Awatoe bungeni ili upate nini? Nyie watu wa chadema ni wajinga mno. Mnataka aende mukya?Ninachokiona CCM/serikali in maslahi na Covid 19 ! Kuna kitu CCM/serikali wanakipata be it kutoka nje kwa financiers or whatever kutokana na Halima et al kuwa bungeni! Unaona kabisa Samia hataki kuwatoa bungeni