Kwa kumtupa lupango sabaya na kuachia fisadi toka magerezani ndio unafikiri atashinda tuzo ya mo ibrahim?Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ameweza kujipambanua kwa hatua mbalimbali nyingi zikikinzana na za mtangulizi wak...
Sawa mzee Mpili tuombe kheri,ila katika eneo la ubambikiaji kesi,uonevu kwa wapinzani na democrasia ongeza juhudi kumkumbusha,vinginevyo Hadi sasa tayari nje ya hiyo road map.Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ameweza kujipambanua kwa hatua mbalimbali nyingi zikikinzana na za mtangulizi wake.
Ninaamini atakuwa alijiwekea lengo la kuibuka mshindi siku zijazo za hii tuzo "lucrative" ya Mo Ibrahim. Endapo atashinda tuzo hii, Tanzania itaingia kwenye nafasi nzuri sana kidemokrasia na hali za maisha ya watu.
Ni jukumu letu sote kuendelea kumkumbusha pale atakapoonekana kukengeuka na kuacha roadmap ya kumpa tuzo hii. Mama anaweza
Tuzo kwa mtu aliyeingia madarakani kwa kura za wizi?Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ameweza kujipambanua kwa hatua mbalimbali nyingi zikikinzana na za mtangulizi wake.
Ninaamini atakuwa alijiwekea lengo la kuibuka mshindi siku zijazo za hii tuzo "lucrative" ya Mo Ibrahim. Endapo atashinda tuzo hii, Tanzania itaingia kwenye nafasi nzuri sana kidemokrasia na hali za maisha ya watu.
Ni jukumu letu sote kuendelea kumkumbusha pale atakapoonekana kukengeuka na kuacha roadmap ya kumpa tuzo hii. Mama anaweza
Tusaidiane kumpigia kelele pale penye mapungufu. Akikaa kwenye roadmap ni kwa faida yetu sote. Nchi ikiendelea ni furaha ya kila mtanzania.Sawa mzee Mpili tuombe kheri,ila katika eneo la ubambikiaji kesi,uonevu kwa wapinzani na democrasia ongeza juhudi kumkumbusha,vinginevyo Hadi sasa tayari nje ya hiyo road map.
Huyu Gado kazidisha chumvi.Kwani MO Ibrahim huwa anatoa tuzo kwa magaidi na madikteta?
View attachment 1902638
Kiongozi anaezima demokrasia ndiye dikteta mwenyewe huyo.Kuzima demokrasia ndiyo definition yenyewe ya udikteta.Kilichobaki tumkumbushe kuwa demokrasia nayo ni muhimu kwa maendeleo ya nchi. Huwezi kuzima sauti halali za wananchi halafu ukatarajia kupata ushirikiano wao katika kuleta maendeleo.
Alikuwa mwizi mwenzaAliyeiba alishafariki. Hapa anamalizia kipindi cha mwendazake. Huyu tumpime kwa chaguzi zijazo.